To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Hakika👊Mkuu, kati ya kusema fulani ni mgonjwa kapelekwa South kutibiwa na kusema Mkurugenzi wa TISS punde atapumzishwa na Fulani atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa TISS na ikawa hivyo unadhani ni kipi kati ya hivyo kinahitaji muhusika awe na taarifa za ndani mno?.
Britanicca hapa jukwaani ni taasisi inayojitegemea.