MUSIGAJI
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 2,254
- 2,715
Mkuu yahani Lucas Mwashambwa awe na vyanzo vya taarifa nyeti kuliko Britannica?.Tusubiri labda Lucas Mwashambwa anaweza kuwa na habari za uhakika zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu yahani Lucas Mwashambwa awe na vyanzo vya taarifa nyeti kuliko Britannica?.Tusubiri labda Lucas Mwashambwa anaweza kuwa na habari za uhakika zaidi.
Hakika,ndo maana nimesema si kabisa labda Kama ameenda kufanya Mambo mengineni tarifa zenye nia ovu
Huyo hajawahi kuwa mwamba wa kaskazini, ni mpita njia tu kama ntibenda au gambo.Ni taarifa au tifutifu ya habari kwamba ambaye ni mkuu wa mkoa wa Arusha mh. ndg Paul Christian Makonda hayupo jijini Arusha kwa sasa na yupo nje ya nchi...
Sindiyo hapo sasa shangaa na wewe.Mkuu yahani Lucas Mwashambwa awe na vyanzo vya taarifa nyeti kuliko Britannica?.
Unafahamu mabalaa ya Britannica lakini hapa jukwaani?.Hakika,ndo maana nimesema si kabisa labda Kama ameenda kufanya Mambo mengine
Ngoja nikamuulize Petro Msechu huenda anajua next drama ijayo ni kuhusu nani.Baada ya hili, watakuja na drama gani tena? Wao wameamua kumwaga ugali, wenzao watamwaga mboga. Ya EA hayaepukiki. Next Tz
Natambua,anavyanzo vya uhakika hyu...lakini kukosea kupoUnafahamu mabalaa ya Britannica lakini hapa jukwaani?.
Kwa faida ya nani?ni tarifa zenye nia ovu
Bazazi six, nchi hii tumekuwa na viongozi wa hovyo sana,
upinzaniKwa faida ya nani?
britanicca ame comfirm kabla hata ya huyu Op wa nyuzi hii, stay tuned.Hebu wasilianeni na nabii mkuu mtajua kila kitu kuhusu RC wetu, acheni uchawi.
Kichwa changu cheupe pee😀Hii code ngumu Sana kufungua
Ndiyo wazushe hivyo ili iweje sasa? Nifaida gani upinzani wanapata kwa kumzushia kitu kama hicho?upinzani
Malipo ni hapa hapaNimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu
Mkuu, kati ya kusema fulani ni mgonjwa kapelekwa South kutibiwa na kusema Mkurugenzi wa TISS punde atapumzishwa na Fulani atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa TISS na ikawa hivyo unadhani ni kipi kati ya hivyo kinahitaji muhusika awe na taarifa za ndani mno?.Natambua,anavyanzo vya uhakika hyu...lakini kukosea kupo
Makondeko hoooiiiiFungua code hii!! Hata tuliosoma Cuba tumeshindwa