Mtoto wa Amina Chifupa na Mpakanjia hana makuu

nimekumbuka mbali sana zama za Mpakanjia na marehemu Amina Chifupa. Mungu awalaze pema peponi awasamehe waja wake. Amen!

sema dogo mpuuzi sana anawafirimba mademu hawalipi wanasema ndio tabia zake
 
Mnajuana kumbe?
 
Haya madaraka haya!!! Muislamu unawatakia wakristo sikukuu njema, kweli!! Waislamu tusomeni dini, na madaraka/vyeo visitufanye tukasahau tulioamrishwa
 
Network ipi ndugu yangu.
Utajiri gani mkuu???
Bongo hii ambapo ukifa kila kitu kinakufa na vinavyobak ndugu wanagawana??
Matajir wa kibongo ni wachache mnooo wenye system bora za kuacha legacy ya utajiri wao. Wachache mnooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…