[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo janja siku hizi anashindana na Ex wake kula bata...
Yupo busy na huba
Nenda insta utamuona
Hata me ndo najiuiliza anafanyia wapi hizo showMimi nipo chuga. Huyu dogo janja anapiga show wapi niende
Karibu Acity utoe tongotongo jiji la matajiri niliachaga makongo msomi nikki wa pili.
Pesa wanazao ? Una jua maisha halisi ya waTanzania? ukitaka kujua wasanii wetu Wanapesa au hawana ngoja waumwe ziitajike million 30 kwaajiri ya matibabu ndiyo utajua hujuiDogo janja ana business zinamlipa kuliko mziki kutokana na level yake na show chuga anapiga Sana waulize Wana wa huko
Angalia Ile bia ya chui anapromote hapo pesa ya bata uwakika
Dogo janja namkubali kwani still anaheshimu wakina madee ndo maana anafika mbali na atendelea kufika
Ila nilitaka kujua ivi huyu dogo janja na young D Wana watoto wa kuzaa kama aslay maana pesa wanazo
Biashara za viduka vya nguo kukodi chumba kimoja cha fremBiashara gani hizo yupo nazo ambazo hazitajiki?
Sasa Dogo janja ana nguvu gani ya kulelewa na majimama pesa hana kwa jinsi alivyo ana weza kumliza jimamaDogo janja hayuko tena Arusha toka atoke kimuziki.
Arusha aliondoka zaidi ya miaka kumi iliyopita na kuhamia Dar.
Na hana biashara nyingine yoyote zaidi ya sanaa na muziki.
Kikubwa zaidi dogo janja yuko Dar anaishi kwa kulelewa na majimama.
Mbon ommy dimpoz aliumwa mda sana na kulazwa hatukuchangiaPesa wanazao ? Una jua maisha halisi ya waTanzania? ukitaka kujua wasanii wetu Wanapesa au hawana ngoja waumwe ziitajike million 30 kwaajiri ya matibabu ndiyo utajua hujui
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikila mtu anapenda kuweka mambo yake wazi unajua Marehemu Ruge watu wakubwa walimchangia pesa za matibu lakin hatukusikia wakiomba kuchangiwa na jamii kama Professor JMbon ommy dimpoz aliumwa mda sana na kulazwa hatukuchangia
Dimpozi amshukuru sana Gavana wa Mombasa JOHO a.k.a 001..Mbon ommy dimpoz aliumwa mda sana na kulazwa hatukuchangia
Huyo alikuwa anampelekea moto uyawo hadi sista wa watu akachizika sema dogo alibwagwa kosa hana mkwanja wahunj wakachukua goma lileSasa Dogo janja ana nguvu gani ya kulelewa na majimama pesa hana kwa jinsi alivyo ana weza kumliza jimama
Sent using Jamii Forums mobile app