Mtoto wa Arachuga Dogo Janja yuko wapi simsikii hewani?

Mtoto wa Arachuga Dogo Janja yuko wapi simsikii hewani?

Kama bado anaimba basi anapata hela ya kunywa bia na kulipa kodi plus kununua raba na jeans za kichina.

Nachofahamu yule demu wake ndio ana biashara biashara Ila dogo hana biashara zaidi ya kuburudisha watu kwa kuimba na wanaosema ana biashara zake hebu wazitaje maana asingeweza kuacha kupromote hizo biashara zake
 
IMG_20220403_135001.jpg
 
Karibu Acity utoe tongotongo jiji la matajiri niliachaga makongo msomi nikki wa pili.
 
Dogo janja ana business zinamlipa kuliko mziki kutokana na level yake na show chuga anapiga Sana waulize Wana wa huko

Angalia Ile bia ya chui anapromote hapo pesa ya bata uwakika
Dogo janja namkubali kwani still anaheshimu wakina madee ndo maana anafika mbali na atendelea kufika

Ila nilitaka kujua ivi huyu dogo janja na young D Wana watoto wa kuzaa kama aslay maana pesa wanazo
Pesa wanazao ? Una jua maisha halisi ya waTanzania? ukitaka kujua wasanii wetu Wanapesa au hawana ngoja waumwe ziitajike million 30 kwaajiri ya matibabu ndiyo utajua hujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo janja hayuko tena Arusha toka atoke kimuziki.

Arusha aliondoka zaidi ya miaka kumi iliyopita na kuhamia Dar.

Na hana biashara nyingine yoyote zaidi ya sanaa na muziki.

Kikubwa zaidi dogo janja yuko Dar anaishi kwa kulelewa na majimama.
Sasa Dogo janja ana nguvu gani ya kulelewa na majimama pesa hana kwa jinsi alivyo ana weza kumliza jimama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbon ommy dimpoz aliumwa mda sana na kulazwa hatukuchangia
Sikila mtu anapenda kuweka mambo yake wazi unajua Marehemu Ruge watu wakubwa walimchangia pesa za matibu lakin hatukusikia wakiomba kuchangiwa na jamii kama Professor J
 
Sasa Dogo janja ana nguvu gani ya kulelewa na majimama pesa hana kwa jinsi alivyo ana weza kumliza jimama

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo alikuwa anampelekea moto uyawo hadi sista wa watu akachizika sema dogo alibwagwa kosa hana mkwanja wahunj wakachukua goma lile

Usidharau wembamba wa reli treni inapita [emoji2]
 
Back
Top Bottom