Mtoto wa Diamond (Tiffah), apata dili jipya la kusoma bure

Mkuu ina maana kila balozi ana bil 15 na kuendelea kwenye acc yake?
... Ada yake sh ngapj mpaka wabongo wasiweze kumudu
 
Nico1 kaa kimyaa huna cha kuchangia hapa
 

Mkuu sijui labda hiyo data ulotoa ni pindi inaanzishwa naweza kukubaliana na wewe ila kwasasa sio ivo ina watoto wengi tuu wenye uwezo wao wa kati hata wafanya biashara kkoo pia baadhi wanawatoto pale.
 
Mbn alipeleka watoto wawili walishinda shindano la kucheza ngololo????
 
dawa yako ww ni LeBron tu,kwani kuna tofauti gani kati ya boys' club na club of boys
Hakuna shule inaitwa TIS bali kuna shule inaitwa IST.. Yaani International School of Tanganyika...
 
TIS ndo shule gani hiyo?? Mimi najua kuna International School of Tanganyika (IST)
 
Hahahaaaa
...Mkuu umeniacha hoi tu kwa huo uandishi, nimecheka kinyama yani.
 
Watanzania wana vituko,nahisi aibu kujitangaza mtanzania

Ni walio Baki huko home hapa DRC watanzania wanaheshimika sana hasa watoto wa Magufuli aka TPDF wametupa maujiko balaa. Ukimwaga kiswahili cha mterezo wanajua wewe unatoka Kule blessed country Tanzania. Hata kama umenyololoka wao wanajua uko strong kama vijana was Mwamunyange
 
Hii thread nimecheka afu itakua source ni yeye mwenyewe, nmecheka part ya wema na jokate kwenda kuwatafutia watoto wa kiba nafasi lol
Hiyo ya barger saa nane na mapumziko kwa kengele ya umeme halafu swimming pool kama la olympic ...hakika nimecheka sana...Jf kuna vituko sana
 
Hii thread nimecheka afu itakua source ni yeye mwenyewe, nmecheka part ya wema na jokate kwenda kuwatafutia watoto wa kiba nafasi lol
Daaa nimecheka sana daa kuna watu ni wachokozi sana tena sana...
 
teh teh teh huyo Lebron nilimfua kwenye finals na majuzi pia nimemfua nikaaribu X-mas yake...
hahaha haaha lile lijamaa linavuta upepo kidogo,lkn ndo liMVP lenu hilo, Curry huo msimu wako wa mwisho kushine
 

Chaaa sio kwa uongo huo
Watu kibao mbona wana watoto hapo.... eti uonyeshe bank statement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…