kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Mkuu ina maana kila balozi ana bil 15 na kuendelea kwenye acc yake?Sidhani kama mtoa mada anaijua shule ya IST (International School Tanganyika)...? Kwanza hiyo shule ni kwa ajili ya watoto wa wanadiplomasi tu, shule iyo ilikuwa na watoto kutoka familia 3 ambao ni watanzania. Kuna mtoto wa Bharessa, watoto wa Rastom Azizi (walikuwa hapo, baada ya ile kashfa akawahamisha), pia na kuan mangi mmoja yupo Zimbabwe anasomesha watoto wake hapo.
Criteria za kusomesha mtoto
1. Lazima uwapatie bank statement, ili wawe na uhakiki hutosumbua ada na michango mingine
2. Bank account iwe na kuanzi bilion 15 na kuendelea
3. Uwe mtoto wa Balozi, au mwambata ndani ya ubalozi husika, au mfanyakazi wa UN
Huyo Tiffah hapo awezi kanyaga, wala hiyo shule haina utamaduni wa kujitangaza, na ukienda pale kuna watoto kibao...mpaka nafasi hakuna
... Ada yake sh ngapj mpaka wabongo wasiweze kumudu