Mtoto wa Diamond (Tiffah), apata dili jipya la kusoma bure

Mtoto wa Diamond (Tiffah), apata dili jipya la kusoma bure

Sio lazma uwe na billion 15 kwenye akaunti ndo uweze somesha mtoto, billion 15 kwenye akaunti sio makalio..kana kwamba kila mtu anayo, ukiwa na bank statement yenye minimum debit amount ya 300,000,000tsh kila mwezi waweza somesha mwanao IST Ndakilawe[/QUOTE]
 
Mimi mwenyewe mwanangu anasoma hapo , pesa yako tu mkuu maana ada sawa na bajeti ya wizara ya michezo
 
Nyota njema uonekana asubuhi,mtoto wa rais mwenye Ikulu yake Madale pembeni kidogo ya jiji la Dar es salaam Tiffah au mtoto Tee amepata dili la kusoma bure kutoka shule ya ushuani wanakokula burger saa nne na kutumia kengere za umeme kwenda mapumziko ,Tanganyika international school (TIS) kwa kipindi chote na huku kumfanya awe balozi wa shule hiyo lkn ubalozi huo kuwa siri mpaka mtoto atakapoanza shule.

Mtoto Tee anakuwa moja ya watoto wachache wasiotokana na familia za kifisadi kusoma shule yenye swimming pool lenye kiwango cha olympic.

Lkn habari zinadai wakina dada wanaopenda attention mjini Wema na Jokate baada ya kusikia habari hizi walijaribu kuzunguka shule kadhaa hapa town kuona kama na wao wanaweza kupata dili kama hilo kwa watoto wa king Kiba ili kwenda sambamba huku baadhi ya shule zikidai ubalozi wa Tembo unamtosha kabisa King huyo wa coke studio.

Inadaiwa pia Diamond ataenda Uganda next month kushoot video ya wimbo mpya ambao Zari ameimba kiitikio na dada yake Diamond amefanya intro

Chanzo: Wana familia

Tukubali tusikubali, huyu mtoto wala si wa Diamond maana hana kabisa dalili za ukoo wa Diamond but Ivan. Why huyu kijana anamng'ang'ania mtoto asiye wake?
 
Tafuteni ubalozi hata wa nyumba kumi mpeleke watoto wenu hapo wakale burger saa nne na kwenda mapumziko kwa kengere ya umeme.
 
Tukubali tusikubali, huyu mtoto wala si wa Diamond maana hana kabisa dalili za ukoo wa Diamond but Ivan. Why huyu kijana anamng'ang'ania mtoto asiye wake?
sasa ni wa Ivan au Katunzi?nyie ndumilakuwili mbona munatuchanganya?kama hamjui mumgawe kwa yupi huyo mtoto kati ya ivan au katunzi,basi bora mumwache aendelee kulelewa na huyo huyo babake wa kambo chibu.
 
Cheki sura ya mtoto, hafanani na Diamod wala mmoja kati ya wazazi wa Diamond hata kidogo.....mtoto ni wa Ivan halina ubishi na inaonyesha Zari ni demu wa aina gani kwa wanaume.
 
Sidhani kama mtoa mada anaijua shule ya IST (International School Tanganyika)...? Kwanza hiyo shule ni kwa ajili ya watoto wa wanadiplomasi tu, shule iyo ilikuwa na watoto kutoka familia 3 ambao ni watanzania. Kuna mtoto wa Bharessa, watoto wa Rastom Azizi (walikuwa hapo, baada ya ile kashfa akawahamisha), pia na kuan mangi mmoja yupo Zimbabwe anasomesha watoto wake hapo.

Criteria za kusomesha mtoto
1. Lazima uwapatie bank statement, ili wawe na uhakiki hutosumbua ada na michango mingine
2. Bank account iwe na kuanzi bilion 15 na kuendelea
3. Uwe mtoto wa Balozi, au mwambata ndani ya ubalozi husika, au mfanyakazi wa UN

Huyo Tiffah hapo awezi kanyaga, wala hiyo shule haina utamaduni wa kujitangaza, na ukienda pale kuna watoto kibao...mpaka nafasi hakuna
Mkuu Una uhakika na ulichokiandika? Sababu kadogo kangu kako pale sisi sio mabalozi wala wafanyakazi wa UN
mama yangu yuko chuo cha maafisa wa jeshi monduli mwalimu pale mshua hustler Mimi truck driver...usilete story za vijiweni hapa mnakula michips yenu ya mihogo na chachandu mnadanganyana halafu unaileta jf...ndorobo wewe
 
dah tiffah ana bahati, ni watoto wa mastaa wachache sana wenye bahati kama yake, ila cha kusikitika tu yule mtoto si damu ya kaka yetu, huyu zari ushetani wake ni wa hali ya juu
Mxyuuuuuuuuuuuuuuu sio damu ya diamond ni damu yako we vepe
Warumi hivi wema ana mimba kweli?
 
Sidhani kama mtoa mada anaijua shule ya IST (International School Tanganyika)...? Kwanza hiyo shule ni kwa ajili ya watoto wa wanadiplomasi tu, shule iyo ilikuwa na watoto kutoka familia 3 ambao ni watanzania. Kuna mtoto wa Bharessa, watoto wa Rastom Azizi (walikuwa hapo, baada ya ile kashfa akawahamisha), pia na kuan mangi mmoja yupo Zimbabwe anasomesha watoto wake hapo.

Criteria za kusomesha mtoto
1. Lazima uwapatie bank statement, ili wawe na uhakiki hutosumbua ada na michango mingine
2. Bank account iwe na kuanzi bilion 15 na kuendelea
3. Uwe mtoto wa Balozi, au mwambata ndani ya ubalozi husika, au mfanyakazi wa UN

Huyo Tiffah hapo awezi kanyaga, wala hiyo shule haina utamaduni wa kujitangaza, na ukienda pale kuna watoto kibao...mpaka nafasi hakuna
Umetaka criteria za pale kuwa ni watot wa mabaloozi,Un...and so forth.......tena umesema walikuwepo watot wa Bakhresa,Rostam....umejichanganya mkuuu....kwani Rostam..Bakhresa ni Mabaloozi..!!
 
hahhahahahahhahhaha eti ubalozi wa tembo unamtosha lol
 
Mkuu Una uhakika na ulichokiandika? Sababu kadogo kangu kako pale sisi sio mabalozi wala wafanyakazi wa UN
mama yangu yuko chuo cha maafisa wa jeshi monduli mwalimu pale mshua hustler Mimi truck driver...usilete story za vijiweni hapa mnakula michips yenu ya mihogo na chachandu mnadanganyana halafu unaileta jf...ndorobo wewe
Wewe ndie Ndorobo... kiazi mbatata kabisa.. Umewahi kwenda pale kuuliza taratibu, aukama mdogo wako anasoma pale..unajua ada nayolipa...

Pitia hii website you ujue zaidi, sio kuropoka tu www.istafrica.com
 
Back
Top Bottom