Mtoto wa Gullam Dewji alikataa full scholarship ya kusoma MIT baada ya kuongoza shule IST mwaka 2007 sababu akafunzwe kuendesha biashara zao India

Mtoto wa Gullam Dewji alikataa full scholarship ya kusoma MIT baada ya kuongoza shule IST mwaka 2007 sababu akafunzwe kuendesha biashara zao India

Yaani MIT wakupe scholarship bila kuiomba?

Niambie aliiomba hapo sawa, ila sio kwamba walimpa tu bila yeye kuomba. Inawezekana ndio ni kichwa sio kwa kiasi hicho unavompamba.
Ndio cha kushangaza,
Kwanini aliomba na hakua na mpango wa kwenda huko?
 
Yaaani mtu aache kwenda kusoma kwenye elimu bora aende India? Mbona baba zake hawakwenda India? India ni kama bongo tu hakuna elimu kule
Yaani unadhania India ni kama Tz? My dear India ina vyuo vya viwango vya kimataifa (hivyo Watz huwa hawajiungi) na inatoa wataalamu wengi tu hasa kwenye maeneo ya udaktari na computer science.
 
Yaani unadhania India ni kama Tz? My dear India ina vyuo vya viwango vya kimataifa (hivyo Watz huwa hawajiungi) na inatoa wataalamu wengi tu hasa kwenye maeneo ya udaktari na computer science.

Na hivyo vyuo vyao vizuri.. mgeni hupati nafasi hata kidogooo

Ushawai kusikia Mtanzania yeyote anasoma India institute of technology ama AIIMS
 
India wako vizuri sana kwenye elimu. Kwa mfano engineering, medicine, computer, mathematics, administration etc. Kuna ma CEO wengi Wahindi makampuni makubwa ya Marekani mfano Google etc
Tatizo la kuokota vitu twitter
 
Habari wadau.

Wahindi wapo makini sana na biashara zao. Watoto wao wanasomeshwa kwa malengo yao tu.

Mtoto wa kaka yake na Mo dewji ambaye anaitwa Gullam Dewji alikuwa kichwa kweli kweli katika shule ya kishua ya IST.

Alipomaliza high school alifanya vizuri sana katika mtihani wake wa SAT na ACT ambayo scores zake ndizo kipimo kinatumika kuingia vyuo vikubwa marekani na vyuo vikuu vya nchi kubwa zilizoendelea kama oxfords etc. Maksi alizopata chuo kikuu namba 1 duniani kinachoitwa MIT kilimpa admission with full ride scholarship.. yaani kila kitu buree kazi yake kusomaa tu.

Cha kushangaza mtoto huyo alikataa hiyo offer ya MIT kwa sababu alipaswa aende kufundishwa jinsi ya kuendesha biashara za familia yao huko nchini india.

Tangu shule ya IST imeanzishwa hakujawai kutokea mwanafunzi wa ki Tanzania aliyekataa full ride scholarship ya chuo kikuu namba moja duniani zaidi ya huyo mtoto wa Gullam Dewji.

Najiuliza tu hivi kuna mzazi Tanzania ama Mtoto anaweza kataa mwanae asiende kusoma hata udsm tu sababu anapaswa kufundishwa biashara ya familia ?

ARWA GULLAM ABASS DEWJI alishangaza mpaka walimu wa IST kwa hiyo jeuri.

View attachment 2337842
Hivi mbona saint kayumba hawaendagi huko MIT na Stanford University

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Sioni cha ajabu chochote.

Ingekua maajabu kama angekataa scholarship halafu akaanza sifuri, siyo kusimamia biashara za home.

Mbona Bakhresa watoto wake walisoma ndio wakarudi kwenye biashara za Baba yake.

Hata Mo dweji alienda shule Kwanza ndio akarudi kwenye biashara
Mkuu kama wazazi au wazee wameshatanguliza njia hakuna kuanzia sifuri ni kuendeleza tu mbele hio ndo advantage...
 
Huwajui wahindi wewe, tulia hivyohivyo. Alafu wao wala hawajifichiki kwenye kufanya hayo kwenye biashara Kama sisi wabongo. Mtu ofisini kajaza matunguri kibao alafu anajifichaficha, kwa muhindi hiyo haipo
waafrica tuna ficha sababu sisi tuna asili ya UUNGU ndani yetu. matunguli ya kishetani si mwake.... lkn wahindi wazungu baba yao ibilisi! siyo wa asili wa Dunia hiii!!....ndo maana hata muafrica ufanyeje hawata kupenda, ......mweusi hamna asili moja nao!
 
Back
Top Bottom