Mtoto wa kike akifikisha umri upi wewe kama baba hupaswi kumpakata?

Inategemeana, kule Ulaya hata akiwa na miaka 30 sawa tu

Shida huku kwetu, ukileta uzungu wa kupakatwa na hawa Wazee wenu waliovurugwa na maisha, hata ukiwa na miaka 15 anaweza kuwaka tamaa.

Sishauri watoto wakike Wala wa kiume kupakatwa

Dunia imeisha hii, watu wamekosa maadili kabisa
 
Achaneni ujingq haha kama kinamwezi mmoja mototo hapakatwi shetani yupo kwenye vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…