Mtoto wa kike akifikisha umri upi wewe kama baba hupaswi kumpakata?

Mtoto wa kike akifikisha umri upi wewe kama baba hupaswi kumpakata?

Hakuna shida katika umri wowote ule, shida ni huyo baba amezoeana vipi na huyo binti tokea utotoni?

Kama ni wale wazazi conservative, wanaweka personal space flani na watoto, basi haiwezekani.

Lakini kama ni mzazi wa kisasa, wale wanaoamini ukaribu na mtoto ni muhimu kadri iwezekanavyo, kwamba mtoto akikosa gestures fulani anaweza kulemaa kisaikolojia na ikawa rahisi kurubuniwa, basi inawezekana.

Kwahiyo umri sio kigezo.
 
Back
Top Bottom