Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Ni muhimu sana kuwafundisha watoto wetu kuhusu kujitegemea.Babu una jielewa sana!mimi mwanangu akianza tu kuelewa maelekezo nataka ajitegemee,hata nikipanda public transport namkatia siti yake ajue umuhimu wa kujitegemea
Dunia ya sasa imekuwa ya hovyo sana kulingana na matukio yanayoendelea.
Sisi miaka ya zamani, ilikuwa tangu tukiwa wadogo tulikuwa tukipewa mafundisho kuhusu kujitegemea kupitia mafunzo ya Jandoni.
Ndiyo maana ilikuwa kawaida zamani kumkuta Kijana wa miaka 15 amejenga ghetto lake na amehama kwenye boma la Wazazi wake.
Miaka ya zamani ilikuwa kawaida kumkuta Nyoka amelala kitandani kwako, kama Kijana wa kiume unapambana kumuua peke yako.
Siku hizi hadi unapiga simu Zimamoto kuja kukusaidia kuua Nyoka wa futi 2 tu 🙌