Mtoto wa kike akifikisha umri upi wewe kama baba hupaswi kumpakata?

Mipaka inabidi izingatiwe, kuna umri mtoto wa kike ukifika, inabidi uanze kupunguza ukaribu na mazoea ya kila siku uliyonayo na mtoto
 
Babu una jielewa sana!mimi mwanangu akianza tu kuelewa maelekezo nataka ajitegemee,hata nikipanda public transport namkatia siti yake ajue umuhimu wa kujitegemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…