Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Jana nimekutana na dharau kwenye daladala ambapo kila mmoja alikua amefura kwa staili yake.
Baada ya kupanda tu dada akaanza kuongea na simu, ikionesha amemuazima gari anaeongea nae. Sentence “ gari yangu” ilitumika sana. Sauti ilikua kubwa gari zima alisikika yeye.
Sasa sijui uyo aneongea nae alimwambia nini, yule dada a kasema “ acha dharau za kisenge”
Next inaonekana aliambiwa we si uko kwenye daladala, huyu dada alisema “ Kwani namuogopa nani?”
Gari zima watu kimya, wanatazamana tu.
Huyu dada hajali nani yuko garini wala nini. Ni anajeri mbaya sana. Nilitaman ingekua night nikishuka nizunguuke dirishani nimpige kwenzi moja kali sana