Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Mkuu unaanza kuzeeka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣
Wacha makasiriko na maisha ya watu 🤣🤣
Konzi la nini sasa 🤣
Bila hata excuse unatoa wapi nguvu ya kujibizana na mtu mzima tena mzee?Hapana Kuna excuse mzee alitoa Ila dada kajikuta ndo kachoka gari zima..
Funny! Inaonekana alivyokuwa mdogo alikuwa mchokozi sana 😅Kajamaa kaoga sana, yaani kangevizia daladala inaanza kuodnoka ndio kangempiga konzi halafu anatoka mbio kuelekea mitaani,
Mimi neno kama hili la usenge, msenge, najaribu kukumbuka siku ambayo nimewahi kulitumia lakini sikumbuki. Mmi siyo mtu wa kutumia maneno kama haya. Maneno yangu makali kabisa ni mjinga, mpumbavu, idiot au mshenzi.Ni ukosefu wa maadili na kuto kujali.
Ukisha kuwa sehemu yoyote ya uma acha yote yako kuwa kawaida.
Kila mtu akileta yake masalani kwenye daladala unadhani patakuwaje!
Ustaarabu mbele za watu ni kiwango kikubwa cha akili inayo jitambua.
Acha kabisa...... Yule dada nadhani akifika nyumbn lzm aone alichofanya sicho!Bila hata excuse unatoa wapi nguvu ya kujibizana na mtu mzima tena mzee?
kuna watu ni kauzu na wako hivyo. usikute akifika home akajisifu kua kuna mtu amemchamba sana.Acha kabisa...... Yule dada nadhani akifika nyumbn lzm aone alichofanya sicho!
Pengine mkuu! Umewaza sahihi kabisa na alitoa matusi ya kumshusha mwanaume utu! Nikasema wanawake wengine sijui hata kaolewa jamaa kaolea nn ?kuna watu ni kauzu na wako hivyo. usikute akifika home akajisifu kua kuna mtu amemchamba sana.
Wakati fulani mwanetu 🤣alijisahau siku moja anabonga na mzee wake akasema Ila mzee jua la kariakoo Lina ni kali kiqum@Huenda ikawa si tusi, lakini je unaweza uksema mbele ya mzazi ama mkweo, akikupa zawadi, ukamwambia "ahsante, zawadi hii nimeipenda kisenge" 🤣
you are not master piece but piece of shitUnaweza mkuu, mfano mtu anakwambia maneno laini kama udongo wa dongola unamwambia acha maneno ya kisenge yaani aache maneno laini ya uongo
Uyo mzee mstaarabu sana, mwengine angemtukana.Wakati fulani mwanetu 🤣alijisahau siku moja anabonga na mzee wake akasema Ila mzee jua la kariakoo Lina ni kali kiqum@
Basi yule mzee alimkata Jina hilo akamwambia "kwahiyo hizo lugha za matusi ndicho kitu ulichonacho kichwani na kadi zako za benk hazina Ata mia🤣🥶"
Wanawake na mabinti wadogo wamekua na jeuri sana. Feminism imewapumbaza basi wanajiona wababe kama John Cena.
Binti mmoja wa jirani yangu kuna siku hakurudi home mpaka mida ya usiku sana wakati sio kawaida yake. Tumemtafuta mtaani tukamkuta yupo sehemu na kijana fulani hivi., sasa anaambiwa twende nyumbani akaanza kufokea wakubwa zake halafu anasema niacheni na maisha yangu na yule kijana kuona wakubwa wanafokewa hawafanyi chohote nae akaungana na yule binti kufoka
Ilibidi ninunue ile kesi. Niliingilia kati nikatandika makofi wote wawili nikamwambia yule binti aongoze njia kurudi nyumbani.
Umpige kwenzi alafu ukimbieJana nimekutana na dharau kwenye daladala ambapo kila mmoja alikua amefura kwa staili yake.
Baada ya kupanda tu dada akaanza kuongea na simu, ikionesha amemuazima gari anaeongea nae. Sentence “ gari yangu” ilitumika sana. Sauti ilikua kubwa gari zima alisikika yeye.
Sasa sijui uyo aneongea nae alimwambia nini, yule dada a kasema “ acha dharau za kisenge”
Next inaonekana aliambiwa we si uko kwenye daladala, huyu dada alisema “ Kwani namuogopa nani?”
Gari zima watu kimya, wanatazamana tu.
Huyu dada hajali nani yuko garini wala nini. Ni anajeri mbaya sana. Nilitaman ingekua night nikishuka nizunguuke dirishani nimpige kwenzi moja kali sana