Mtoto wa kike anatukana matusi kwenye daladala na anasema haogopi mtu

Wanawake na mabinti wadogo wamekua na jeuri sana. Feminism imewapumbaza basi wanajiona wababe kama John Cena.

Binti mmoja wa jirani yangu kuna siku hakurudi home mpaka mida ya usiku sana wakati sio kawaida yake. Tumemtafuta mtaani tukamkuta yupo sehemu na kijana fulani hivi., sasa anaambiwa twende nyumbani akaanza kufokea wakubwa zake halafu anasema niacheni na maisha yangu na yule kijana kuona wakubwa wanafokewa hawafanyi chohote nae akaungana na yule binti kufoka

Ilibidi ninunue ile kesi. Niliingilia kati nikatandika makofi wote wawili nikamwambia yule binti aongoze njia kurudi nyumbani.
 
And it get worse every day
 
And it get worse every day
Dawa ni kwenda nao kitaliban tu. Wanawake wanaheshima zaidi wakishughulikiwa kidikteta, ni hizi modern ideologies za 50/50 na feminism zimewapumbaza lakini kiasili mwanamke hana muunganiko na 50/50 ndio maana ukienda nae kwa mtindo huo wa usawa anakuaona dhaifu na atafanya majaribio ya kukupanda kichwani
 
Hii nakutana nayo hasa kwenye usafiri....

Mwendokasi wa kimara mzee wa watu kamkanyaga binti wa watu bahati mbaya

Dada alitoa matusi hayo,

Aseeh wanawake wengine wana ushenzii kutukana inasaidia nn sasa? zaidi ya kujidhalilishs ama upigwe Bure,
Ko mdada wa watu kukanyagwa akae kimyaa? Lol
 
Back
Top Bottom