Mtoto wa kike anatukana matusi kwenye daladala na anasema haogopi mtu

sasa anaambiwa twende nyumbani akaanza kufokea wakubwa zake halafu anasema niacheni na maisha yangu na yule kijana kuona wakubwa wanafokewa hawafanyi chohote nae akaungana na yule binti kufoka
Nimechekaa kinyama yaani
 
1. Maana ya Kawaida:

Kisenge ni sehemu ya juu ya kuta za nyumba, karibu na paa, au sehemu ya ukuta inayoshikilia paa. Katika muktadha huu, linahusiana na usanifu wa nyumba.
Lugha ubadirika kulingana na mazingira ya jamii husika, mfano unaweza kumwambia mtu kuwa wewe unatoa tigo.
 
Ila kupika makande ndio ilifaa kujadiliwa sio?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👀Watu wanatema shit kinoma
 
Kuna siku kidada chembambaa kina nywele za kusuka zina marangi rangi ya rainbow na dera na pini puani, kilirudishiwa chenji mia (100) pungufu wee.. tokea matumbi hadi segerea tunasikiliza tambo zake tu alafu kikapigia simu tagi waje kumpokea stendi konda mhuni ila alikubali show.
 
Ni hasira tu, the truth is akibanwa kidogo ataanza kuomba msaada
 
Hapo ilitakiwa mtu m'moja alianzishe aseme "unasema unamuogopa nani, kwahiyo sisi tumekwambia tunavutiwa na matusi yako". Halafu ajibu kwa shari aanzishe vagi the balaa limrudie. Gari zima wangekula nae sahani moja.
 
Watu wamevurugwa waacheni
 
Unaweza mkuu, mfano mtu anakwambia maneno laini kama udongo wa dongola unamwambia acha maneno ya kisenge yaani aache maneno laini ya uongo
Hivi unaweza mwambia mtu unaemheshimu " Acha maneno ya kisenge"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…