Mtoto wa kike anatukana matusi kwenye daladala na anasema haogopi mtu

Dah! Nimetoka kusoma kitabu cha jamaa mmoja anaitwa Peter Senge muda si mrefu.
 
Mind yo own mpaka atakapo kushambulia ndo ureact jombaa hapa mjini kila mtu na stress zake,afu mi dawa ya wanake wenye dharau ninayo au mwanamke mgomvi huwa simpigi namtia madole tu
 
Ni ukosefu wa maadili na kuto kujali.
Ukisha kuwa sehemu yoyote ya uma acha yote yako kuwa kawaida.

Kila mtu akileta yake masalani kwenye daladala unadhani patakuwaje!

Ustaarabu mbele za watu ni kiwango kikubwa cha akili inayo jitambua.
Mimi neno kama hili la usenge, msenge, najaribu kukumbuka siku ambayo nimewahi kulitumia lakini sikumbuki. Mmi siyo mtu wa kutumia maneno kama haya. Maneno yangu makali kabisa ni mjinga, mpumbavu, idiot au mshenzi.
 
kuna watu ni kauzu na wako hivyo. usikute akifika home akajisifu kua kuna mtu amemchamba sana.
Pengine mkuu! Umewaza sahihi kabisa na alitoa matusi ya kumshusha mwanaume utu! Nikasema wanawake wengine sijui hata kaolewa jamaa kaolea nn ?

Mwanamke awe na aibu, ama aulize in a politely way, mwendokasi usikanyagwe we nan?

Mm mkanda ushakatika nikijivuta kutoka kwenye nyomi la watu
 
Huenda ikawa si tusi, lakini je unaweza uksema mbele ya mzazi ama mkweo, akikupa zawadi, ukamwambia "ahsante, zawadi hii nimeipenda kisenge" 🤣
Wakati fulani mwanetu 🤣alijisahau siku moja anabonga na mzee wake akasema Ila mzee jua la kariakoo Lina ni kali kiqum@

Basi yule mzee alimkata Jina hilo akamwambia "kwahiyo hizo lugha za matusi ndicho kitu ulichonacho kichwani na kadi zako za benk hazina Ata mia🤣🥶"
 
Pole kwaa stress. Mbona maongezi ya kawaida tu hayo.

Punguza ubabe wa kijinga sio kila mtu atakubali apigwe ovyo
 
Uyo mzee mstaarabu sana, mwengine angemtukana.
 
Sasa mkuu wangu majuzi kati kuna binti kapita mitaa yetu akandondosha elfu tano samoja hivi

Basi si akaanza kuitafta Ile 5k kwenye majani kazunguka pale masaa matatu anaomba omba elfu tano watu wanaopita watu akamwambia nenda home usku unaingia babu binti kagoma ety baba ake Ata mpiga na mwiko kisa kupoteza hela ikabidi nismkilize yule mtoto huruma ikaniingia budah nikachomoa 5k nikampa kwa wakati mwingine nikatafakari nikaona Huyu anaweza asijifunze
 
Umpige kwenzi alafu ukimbie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…