Mtoto wa kiongozi wa kundi la HAMAS abadili dini na kuwa MKRISTO na kuelezea yanayofanyika ndani ya Hamas

1. Vifo vya watoto
2.vifo vya wazee
3 Vifo vya akina mama
4.Ulemavu wa kudumu
Hizi ni atari mbaya sana za vita na kamwe hazivumiliki kwa kisingizio cha udini.
 
Lakini huyo amebadiki dini Mwaka 2008, siyo ya sasa hata tuseme limetengenezwa sasa.
Sasa jiulize wewe miaka yote hiyo lilikuwa wapi liibuke leo?


Uharo tu huo wa kutowana njiani na kupotezeana muda.
 

Huwa nashangaa sana nikisikia mtu anamuua mwenzake na wakati huo huo anasema "Mungu ni mkuu". Yaani unaamini kuua binadamu mwenzako kwakuwa haamini unachoamini wewe ni kumtukuza Mungu?
Itakuwa mungu mnywa damu
 
Stupid propaganda.
 
Lakini huyo amebadiki dini Mwaka 2008, siyo ya sasa hata tuseme limetengenezwa sasa.
Ilimaanisha kwamba HAMAS ilikuwa na mipango hiyo kwa muda mrefu... Yani agenda yao ya mashambulizi ni ya muda mrefu, ndio maana wanachukua watoto wakiwa wadogo wanawapandikiza hizi fikra hili kazazi na kizazi waje kufanya hayo mambo... Wewe msikilize anachosema ni kuwa watoto ndio wanaolengwa zaidi hili kutelekeza maoni yao ya miaka ijayo
 
Sasa hivi tutasikia kila uharo.

Wayahudi wanajuwa kuunda filamu.

Wajinga ndiyo waliwao.
Unashangaa nini wakati Hamas wana long term plan, ndio maana wanafundisha watoto hizo ideology wakiwa bado wadogo, hili baba zao watakapokufa wao waendeleze huo uhasama, na lengo la HAMAS ni Palestina kuwa taifa la kiislamu haijalishi itachukua miaka mingapi... Sasa unashangaa kubadilisha dini 2008? Vita picha yeye alikimbia hayo mambo 2008, ila historia imekuja kujidhiirisha 2023, huoni kuwa HAMAS walikuwa wanasuka plan tangu zaman, na wanarithisha kwa watoto huko misikitini
 
Kwani kundi lina Kiongozi mmoja?

Acha mawazo finyu
makundi ya kigaidi huwa na viongozi wengi, wanajua kuwa na kiongozi mmoja saa yoyote anaweza kuuwawa, hivyo viongozi wanakuwa wengi, ukiuwa mmoja wengine wapo wanaendeleza mapambano
 

Huu uharo tu hauna lolote la maana.

Hao wafanyayo hayo maigizo mbona wapo wengi sana na sasa hivi ni soko kubwa sana USA, Canada na Ulaya.

Hao hawana tofauti na wale wanawake wanaovalishwa hijab kujifanya waislam kwa wachungaji wapigaji.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Hawa watoto mafunzo yao ni kuandaliwa kufa, ila wanasisitizwa kabla ya kufa wawe wamefanya jambo kwa ajili ya deen
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa jiulize wewe miaka yote hiyo lilikuwa wapi liibuke leo?


Uharo tu huo wa kutowana njiani na kupotezeana muda.
Taarifa ipo muda mrefu, ila mahojiano ndiyo ya kipindi hiki.
Kubadili dini ni kawaida tu, mbona wapo wanaotoka Ukristo kwenda kwenye uislam?
 
Kwahyo alikuwa anahamasisha wapalestina waachane na uislam na bado wakamuacha? Stori zingine hizi sijui zimekaa aje ase. Anyways,kama stori haijatengenezwa aendelee kuamini alipo coz Mungu ni mmoja tu tatizo lipo kwa sisis binadamu kutaka kuonekana njia tunayoamini ya kumfikia Mungu ni sahihi kuliko ya wengine
 
Hajasema waache Uislamu, bali kuacha kuwatumikia Hamas kwa sababu nia yao ni ovu... Yeye hakutaka ujinga akaamua na kubadilishana dini ili hawe safi
 
Nothing new sababu hizi dini zote zinatokea sehemu moja sema utofauti upo kwenye kuabudu tu.
 


Utakuwa mpango mkakati mzuti wa vita. Upinzani wangeuelewa, kwa wingi wangejiunga CCM. Ili kuimalizia huko huko. Aliutumia sana Raila kuiangusha KANU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…