Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona haueleweki kama demu aliyekula nauli
Kutoka kwenye dini kwenda kusiko na dini ni ajbau kubwa sana.Taarifa ipo muda mrefu, ila mahojiano ndiyo ya kipindi hiki.
Kubadili dini ni kawaida tu, mbona wapo wanaotoka Ukristo kwenda kwenye uislam?
A Mimi nimeenda Hadi mwisho kuangalia maoni take nimeambulia patupu.Kwenye Facts za maana uwezi kumuona FaizaFoxy.... Hapa hana cha kukanusha..
Huyu anayetukuzwa kwa kuuwa watu ni mungu wa dunia hii ambaye yeye uuaji, uchinjaji na kuangamiza watu ndio mission yake kubwa ili apate damu yeye na malaika zake walioasi majini na mapepo ya kila aina kwa kabila zao. Ila yupo yehova Mungu wa Ibrahim, Isaac and Jacob huyu Mungu ndio mkuu na mwenye kusifiwa sana. Ni Mungu juu ya miungu yote kwake yeye kila goti litapigwa
Huwa nashangaa sana nikisikia mtu anamuua mwenzake na wakati huo huo anasema "Mungu ni mkuu". Yaani unaamini kuua binadamu mwenzako kwakuwa haamini unachoamini wewe ni kumtukuza Mungu?
Watuwatoke gizani, Yesu ndiye nuru ya ulimwengu, yeyote amwaminiye hatakaa gizani kamwe.Kutoka kwenye dini kwenda kusiko na dini ni ajbau kubwa sana.
Watu wanatoka kizani kuingia kwenye Nuru.
Haya ni maigizo tu, hakuna zaidi.
Wakikujibu nistue mkuu. Kuna watu ni wapumbavu haijapata tokea. Na wao ndo chanzo cha migogoro mingi sana duniani
Huwa nashangaa sana nikisikia mtu anamuua mwenzake na wakati huo huo anasema "Mungu ni mkuu". Yaani unaamini kuua binadamu mwenzako kwakuwa haamini unachoamini wewe ni kumtukuza Mungu?
Dini zina mambo mengi, wanaofanya maamuzi ya kutoka au kubaki hao hufanya hivyo baada ya kuiona Nuru mioyoni na akilini mwao.Kutoka kwenye dini kwenda kusiko na dini ni ajbau kubwa sana.
Watu wanatoka kizani kuingia kwenye Nuru.
Haya ni maigizo tu, hakuna zaidi.
Yesu mwenye ni Muislam, huelewi hilo?Watuwatoke gizani, Yesu ndiye nuru ya ulimwengu, yeyote amwaminiye hatakaa gizani kamwe.
Yesu hakuwa na dini, na dini kwake sii kitu kwani wanaomfuata ndio wanatakiwa wawe na mfumo wa kuiga Maisha yake duniani. Yeye aliishi kwenye jamii ya kiyahudi na alikuwa anafundisha kwenye mahekalu ya kiyahudi wakati huo hakukuwepo kitu kinachoitwa uoslam Wala msikitiYesu mwenye ni Muislam, huelewi hilo?
Yesu alikuwa dini gani?
Dah, sasa unamtosa Yesu, unasema kuwa ni mpagani?Ue
Yesu hakuwa na dini, na dini kwake sii kitu kwani wanaomfuata ndio wanatakiwa wawe na mfumo wa kuiga Maisha yake duniani. Yeye aliishi kwenye jamii ya kiyahudi na alikuwa anafundisha kwenye mahekalu ya kiyahudi wakati huo hakukuwepo kitu kinachoitwa uoslam Wala msikiti
Bibi Hamas banaHuu uharo tu hauna lolote la maana.
Hao wafanyayo hayo maigizo mbona wapo wengi sana na sasa hivi ni soko kubwa sana USA, Canada na Ulaya.
Hao hawana tofauti na wale wanawake wanaovalishwa hijab kujifanya waislam kwa wachungaji wapigaji.
Wajinga ndiyo waliwao.
Unaambiwa Muslim mmoja tu akibadili kuwa mkristo akutwa ONE IN A BILLION.Sasa hivi tutasikia kila uharo.
Wayahudi wanajuwa kuunda filamu.
Wajinga ndiyo waliwao.
Mtoto wa kiume kiongozi wa kundi la Hamas anayeitwa Mosab Hassan Youssef, amekuja wazi na kuonesha kutopendezwa na mienendo ya Kundi la Hamas, kitu ambacho kilipelekea kubadili dini na kuwa Mkristo na sasa anaishi kwa Amani. Mosab Hassan Youssef aliandaliwa kuwa kiongozi atakayerithi uongozi wa baba yake ila yeye akaamua kuachana na hayo mambo na kuwa Mkristo na badae kujikita kuandika vitabu mbalimbali ikiwemo kinachohusu kundi la Hamas, ikumbukwe kundi la Hamas linapigania kuchukua Palestina na kuifanya kuwa Nchi itakayoongozwa kwa misingi ya dini ya kiislam. Amesikika akisema
"HAMAS hawajali maisha ya wapalestina wala waisraeli au wamarekani, na hawajali maisha yao binafsi. Wanachojali ni kufa kwa ajili ya mitazamo yao na jinsi wanavyoabudu. Utaendelea vipi katika jamii ya namna hiyo?"
Aliongezea tena baada ya kuulizwa tena na mwandishi kuwa je utaweza kukaa sehemu moja na mtu anayetaka kumuangamiza; akajibu,
"Hamas hawataki kushirikiana kwa kuwa pamoja, wala mashauriano. Hamas wanachotafuta ni kupiga na kushinda, wanataka wao ndio wawe washindi kila mahali. Hata hivyo Hamas kuishambulia na kuipiga Israel sio lengo lao kuu la mwisho, lengo kuu la HAMAS ni kujenga utawala wa serikali ya kiislamu (Islamic Khilafah), kwa maana ya kuwa nchi nzima iwe ya kiislamu, na raia wote wawe chini ya dini ya kiislam. Hili ndilo lengo kuu la harakati zao"
Mtangazaji akauliza tena, Mosab kwenye kitabu chako umeelezea kuwa Hamas shabaha yao kuu ni kuwalenga Raia na kuwatumia kama dhana ya vita, tuambie Hamas unayoifahamu wewe toka ukiwa mdogo hadi unakuwa mkubwa huko West Bank;
Mosab akajibu "Ndani ya misikiti, Hamas walitufundisha bila kumwaga damu za wasio kuwa na hatia juu ya mitazamo yetu, tunataka kuwa na uwezo wa kutengeneza taifa litakalo kuwa chini ya uislamu. Na tulikuwa tunaandaliwa kabisa tukiwa wadogo sana, tukiwa na umri kuanzia miaka 5. Na haya ndio yalikuwa malengo yao ambayo walikuwa wakitulisha tukiwa wadogo. Na kiukweli ilikuwa ngumu au haiwezekani kwa mtu yeyote kutoboa na kuona ukweli juu ya nyuso za Hamas zisizokuwa za kweli, na kuweza kuachana nao kwa namna fulani. Na kama mnavyoona kwenye kesi yangu ilinibidi nipoteze kila kitu kwa ajili tu ya kuwakataa Hamas. Na leo nikiwatazama watoto wa Gaza, na ninajua nini wanalishwa, na ninajua hawana machaguo.
Hayo yalikuwa ni mahojiano yaliyofanyika na chombo cha habari za CNN dhidi ya Mosab Hassan Youssef. Tazama mahojiano hapo chini.
View: https://youtu.be/pLdjJXtwSzA?si=a2mnZQnr6F-5b4QK