Mtoto wa kiongozi wa kundi la HAMAS abadili dini na kuwa MKRISTO na kuelezea yanayofanyika ndani ya Hamas

Kwahiyo hatovaa tena makibazi,barakashia,hata paka ndevu ina,suruali fupi zote ataachana nazo.

Karibu katika kweli.
 
Kutoka kwenye dini kwenda kusiko na dini ni ajbau kubwa sana.

Watu wanatoka kizani kuingia kwenye Nuru.


Haya ni maigizo tu, hakuna zaidi.
Kaenda kwenye imani sahihi yenye aman sio kuchinjana na visasi
 
mchambuzi wa siasa mpalestina msomi ambaye hajawa "brainwashed" akichambua kuhusu HAMAS
 

Attachments

  • Facebook 862984182069617(SD).mp4
    6.1 MB
Nakataa kabisa. Haiwezekani akasilimu... Akaacha Din ya Mnyaazi mungu. Hizi ni propaganda tu kututoa kwenye reli
FaizaFoxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…