YUo have the best father trust me.huyo ndio kidumeMama hajanijaza sumu yoyote ila ninavyokua namuona mzee ndio anazidi kuzingua, kuna muda natamani nimpeleke mahakamani aache kumtesa mama ila siwezi kufanya hivyo, mama analaumu kwa nini tumekua vijana wakubwa tunashindwa kumkemea baba na baba ni mjeuri kupitiliza hadi wazee wa ukoo wamemshindwa;
bado najiuliza nitachukua hatua gani familia iwe na amani ambayo sijawahi kuiona tokea nimezaliwa
Yeah, anachana na takataka alizojaziwa kwenye fuvu lake na mama.Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi.
Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine.
Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio.
Mtoto wa Kiume humchukia Baba pale anapokua Mdogo, humuona Baba kama asiye na Upendo na Mama yake, ama asiyejari familia, na. Chuki huwa kubwa sana Utotoni
Ila kadri Mtoto wa Kiume akianza kukua, hata kuanzisha na yeye familia, ama Uchumba ama kupata Mtoto hata na Mwanamke ambaye hajamuona.
Watoto wa Kiume walio wengi hujikuta wanawasamehe Baba zao bila hata ya kuombwa Msamaha.
Mkuu yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.mama analaumu kwa nini tumekua vijana wakubwa tunashindwa kumkemea baba na baba ni mjeuri kupitiliza hadi wazee wa ukoo wamemshindwa;
bado najiuliza nitachukua hatua gani familia iwe na amani ambayo sijawahi kuiona tokea nimezaliwa
Hapana, mzee hataki kumuona maza anaishi kwa amani, maza anaprovide family kuliko mzee ila mzee anamtukana mbele ya watoto kila akijisikia, namuheshimu kama baba ila anafanya vitu vya kumvunjia heshima yeye mwenyeweYUo have the best father trust me.huyo ndio kidume
Mkuu miaka yote tunasoma ukipiga simu kwa baba hakupi hata buku tano, mama ndio provider ameletewa hadi watoto wa nje analea kama wake na bado anatukanwa mbele ya madogo mpaka leoMkuu yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.
Hizo hatua unazosema utazichukua, ni vyema ukazichukua kwenye Familia yako (Mkeo na watoto wako) ili upate hiyo amani ambayo hujawai kuiona hapo kwenu.
Be a Man, focus na issue za kujijenga kiuchumi ili baadae watoto wako wasije kusema wanataka kuchukua hatua kwenye nyumba yako.
kuna siku ukiwa na wewe baba utajua nini maana ya mwanamke. binafsi kwa umri wangu huu, nampenda sana mama, ila mzee namwelewa na kumsamehe sana kwa sababu alipambana sana na ndio sasaivi naelewa alinipenda kuliko mimi nilivyofahamu. kwa bahati mbaya sana, nimekuja kufahamu hilo wakati ameshakufa, yakabaki maumivu tu. angelikuwepo, ningemuappreciate na ningepiga naye story, ningefurahi naye maisha, ningemtunza na ningemfaidi ukaribu wake. ninyi mlio na baba hai, tumieni hiyo opportunity, na jueni hata huyo mama yenu mzuri kwenu alishawahi kumuudhi dingi vya kutosha na ilikuwa bahati tu kwake kuolewa na dingi yako.ninachoshukuru, alinibariki, alikuwa ananiongelea maneno mazuri mazuri, na yote yametokea, alinitabiria nitasoma hadi nje, na kweli imetokea, alinitabiria nitafanikiwa sana, na kweli imetokea. kumbe ndio maana hata kwenye Bible, baraka hutoka kwanza kwa Baba, babako anao uwezo kukubariki au kukulaani, hiyo ya mama inakuja kama subsidiary tu, ila initially baraka hutoka kwa baba.Mama hajanijaza sumu yoyote ila ninavyokua namuona mzee ndio anazidi kuzingua, kuna muda natamani nimpeleke mahakamani aache kumtesa mama ila siwezi kufanya hivyo, mama analaumu kwa nini tumekua vijana wakubwa tunashindwa kumkemea baba na baba ni mjeuri kupitiliza hadi wazee wa ukoo wamemshindwa;
bado najiuliza nitachukua hatua gani familia iwe na amani ambayo sijawahi kuiona tokea nimezaliwa
KabisaEven Fools can be Fathers.
Mwanaume anayezaa na kutelekeza familia huyo ni baba mpumbavu hastahili hata huruma.
Zipo sababu ambazo huwezi kujua, pale na wewe utapokua na Mke na kuanza familia, Kuna majibu utaanza kuyapata...!Mkuu miaka yote tunasoma ukipiga simu kwa baba hakupi hata buku tano, mama ndio provider ameletewa hadi watoto wa nje analea kama wake na bado anatukanwa mbele ya madogo mpaka leo
Kuna namna vitu vingine huwezi potezea Mkuu
NI kweli kabisa kuna mambo ukiwa mdogo ulikuwa unaona kama Mzee anazingua.Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi.
Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine.
Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio.
Mtoto wa Kiume humchukia Baba pale anapokua Mdogo, humuona Baba kama asiye na Upendo na Mama yake, ama asiyejari familia, na. Chuki huwa kubwa sana Utotoni
Ila kadri Mtoto wa Kiume akianza kukua, hata kuanzisha na yeye familia, ama Uchumba ama kupata Mtoto hata na Mwanamke ambaye hajamuona.
Watoto wa Kiume walio wengi hujikuta wanawasamehe Baba zao bila hata ya kuombwa Msamaha.
Sahihi...!NI kweli kabisa kuna mambo ukiwa mdogo ulikuwa unaona kama Mzee anazingua.
Ukikua ukawa na familia ndio unapata picha kamili.
Itakuwa bado upo kwa mzee apo home.Mama hajanijaza sumu yoyote ila ninavyokua namuona mzee ndio anazidi kuzingua, kuna muda natamani nimpeleke mahakamani aache kumtesa mama ila siwezi kufanya hivyo, mama analaumu kwa nini tumekua vijana wakubwa tunashindwa kumkemea baba na baba ni mjeuri kupitiliza hadi wazee wa ukoo wamemshindwa;
bado najiuliza nitachukua hatua gani familia iwe na amani ambayo sijawahi kuiona tokea nimezaliwa
Kabisa kabisaSahihi...!
Mfano nikiwa Mdogo niliwahi kujiambia kwamba Watoto wangu wote watatoka Kwa Mama mmoja,, Kuna Baba wa Rafiki yangu alikua na Watoto kama 7 toka Kwa Mama 3 tofauti, nilikua namuona kama Mzee mwenye tabia Mbaya...!
Ila nilivyokuwa mkubwa niliondoa lawama zote kwake.
Kuna mambo huyajui bado hasa mle ndani huenda yeye hatakagi kusema hata hao wazee wa ukoo husikiliza upande wa maza na ndio maana msure huonekana mjeuriMama hajanijaza sumu yoyote ila ninavyokua namuona mzee ndio anazidi kuzingua, kuna muda natamani nimpeleke mahakamani aache kumtesa mama ila siwezi kufanya hivyo, mama analaumu kwa nini tumekua vijana wakubwa tunashindwa kumkemea baba na baba ni mjeuri kupitiliza hadi wazee wa ukoo wamemshindwa;
bado najiuliza nitachukua hatua gani familia iwe na amani ambayo sijawahi kuiona tokea nimezaliwa
Hama kwenu uende na wewe kwako uoe na kupata familia. Kisha upime kama utaendelea kumlaumu Mzee wako.Mama hajanijaza sumu yoyote ila ninavyokua namuona mzee ndio anazidi kuzingua, kuna muda natamani nimpeleke mahakamani aache kumtesa mama ila siwezi kufanya hivyo, mama analaumu kwa nini tumekua vijana wakubwa tunashindwa kumkemea baba na baba ni mjeuri kupitiliza hadi wazee wa ukoo wamemshindwa;
bado najiuliza nitachukua hatua gani familia iwe na amani ambayo sijawahi kuiona tokea nimezaliwa