Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi.
Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine.
Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio.
Mtoto wa Kiume humchukia Baba pale anapokua Mdogo, humuona Baba kama asiye na Upendo na Mama yake, ama asiyejari familia, na. Chuki huwa kubwa sana Utotoni
Ila kadri Mtoto wa Kiume akianza kukua, hata kuanzisha na yeye familia, ama Uchumba ama kupata Mtoto hata na Mwanamke ambaye hajamuona.
Watoto wa Kiume walio wengi hujikuta wanawasamehe Baba zao bila hata ya kuombwa Msamaha.