Huyu anataka kufanya uchochezi tu hana la zaidi!Usipende kuusemea moyo wa mtu mkuu...ni lini amesimama akaelezea hizo hisia za chuki kwa waislam
Kuna kilichomvutia mkuu! Haya mambo yana siri nzitoBinti ndio huyo amekaa kama anapiga mruzi. Au hapo anawaimbia ngonjera?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye hakuwa na kazi au alikuwa mzee wa kuunga unga nini ! Kama anakazi yake saangapi wamtumeIt's not a General rule mkuu,enjoy ndoa yako boss.
Kuna mshikaji mmoja ni unga unga mwana tu huko mtaani alienda kuoa kwa waziri mmoja siku hizi ni mstaafu akageuzwa kua ni dereva wa familia ya mke,baba/mama mkwe/mashemeji/ndg ni full kumtuma tuma mwana.
dodge
Wakati wa Bunge la Katiba alipita makanisani na kusema serikali tatu zanzibar itakua nchi yakiislam.Haya sasa wajukuu zake wataitwa Mohammed.Acha kumsingizia, ni lini alisema anawachukia acha uchochezi kijana!!!
Yeye hakuwa na kazi au alikuwa mzee wa kuunga unga nini ! Kama anakazi yake saangapi wamtume
tatizo ile hali yakujipeleka peleka ili uonekane kwa umeoa kwa waziri[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Happo sasaHivi nyie waarabu wa Bongo hayo mapanga mnaofunga kiunoni ni ya nini ?
Mwenye ma bus si huyo, huyo ni Abood wa ZanzibarKwamba Lukuvi na familia yake ni mwendo wa kupanda abood free tu.
Hahah ngoja niwakutanishe wakuu.
dodge
Kwani kusema kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya kiisilamu ndiyo kuwachukia wahusika?, yale yalikuwa ni mawazo yake na aliysema kwa uwazi (inawezekana yalikuudhi, lakini haitoshi kusema kuwa anawachukia). Mimi nilidhani kuwa aliwahi kuwatukana/kuwakashifu.Wakati wa Bunge la Katiba alipita makanisani na kusema serikali tatu zanzibar itakua nchi yakiislam.Haya sasa wajukuu zake wataitwa Mohammed.
Lukuvi Mkapa Magufuli wapo kimaslahi ya kanisa katoliki.Watoto wa nyerere hao
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.
Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations
Na Uchebe alimuoa Shilole.
Kila mtu na Level zake.
dodge
Alikuwa anajirahisisha ndiyo maana, kuoa kwa wazito lazima uwe na akili timamu [emoji23][emoji23]Hahah alikua misheni town ana kiduka chake cha nguo mitaa ya kino kule mkuu.
dodge
Hata mm sikuielewa
Wewe umefaidika nini na kubadiri kwake dini?Bw. William Lukuvi hakuweza kuzificha chuki zake dhidi ya Wazanzibari, Waarabu na Waisilamu. Alizumgumza maneno yaliyojaa chuki dhidi yao wala hakuna chombo chochote mpaka hii leo kilicho mkemea kwa maneno yake yaliojaa chuki za wazi kabisa. Nini matokeo ya chuki zake kwa hao nilio wataja? Mtoto wake ameolewa na Mzanzibari, Mwarabu na Musilamu. Maana yake mtoto wake wa kike ameikana dini ya baba yake (ukiristo) na kuingia katika dini ya Uislam. Alhamdulillah hivi ndivyo Mungu anavyojibu.
Nini maoni yako?
Alipita kanisa gani?Wakati wa Bunge la Katiba alipita makanisani na kusema serikali tatu zanzibar itakua nchi yakiislam.Haya sasa wajukuu zake wataitwa Mohammed.
Lukuvi Mkapa Magufuli wapo kimaslahi ya kanisa katoliki.Watoto wa nyerere hao
Kila mbuzi kwa urefu wa kamba yake!Duh namimi acha nimuoe mtoto wamwalimu maana baba yangu nimwenyekiti wakijiji
Sent using Jamii Forums mobile app