Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

Kuna siku utakuja kuuliza chupi ni za nini,kwani unakerwa na nini,si ni kama kifimbo cha Mwalimu tu.
Hivi nyie waarabu wa Bongo hayo mapanga mnaofunga kiunoni ni ya nini ?
 
Hivi nyie waarabu wa Bongo hayo mapanga mnaofunga kiunoni ni ya nini ?
Mume ni kiongozi wa familia, ana offer mahitaji ya familia pia ni jukumu lake kuilinda familia. Hiyo ni kama ishara kama mwanajeshi anavyobeba silaha yake kuwa yupo tayari kuilinda mipaka yake.

Hata sherehe za kimila za jamii zetu za zamani kijana akioa/ akitoka jando hukabidhiwa mkuki na sime, kumtambulisha kuwa yeye ni responsible active member of the society. Kumtambulisha kuwa ameiva, ana nguvu na yupo tayari kutumika kwa ajili ya jamii yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika binadam tunapanga yetu, tunaongea yetu lakini Allah ana yake.

Jinsi Lukuvi alivyousema Uislam, Wazanzibari na Usultani miaka michache nyuma, nani leo hii angetarajia Lukuvi kuukabidhi mkono wa binti yake kws Muislam, Mzanzibari mwenye asili ya hao hao waliokuwa Masultani huko Zanzibar?

Binafsi nachukulia kuwa kuwa kwa uwezo wa Allah, mzee Lukuvi amejirudi na ametubu dhambi hiyo kwa vitendo.

Alikuwa na uwezo kabisa wa kukataa kata kata na kwa ngivu alizonazo hakuna ambae angempinga.

Hakika Allah huutowa umauti kwenye uhai na huutoa uhai kwenye umauti.

Binafsi namsamehe Lukuvi na In shaa Allah ajaaliwe atoke kizani na aione Nuru ya Allah kama alivyoiona binti yake.

Ma shaa Allah inapendeza.

IMG-20200128-WA0017.jpg
IMG-20200128-WA0014.jpg
IMG-20200128-WA0016.jpg
 

Attachments

  • IMG-20200128-WA0014.jpg
    IMG-20200128-WA0014.jpg
    79.9 KB · Views: 3
Lukuvi ameamua kumpoteza mwanae kwa hawa watu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama amefuata hela. Lukuvi kweli mwanao umemkubalia hv

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiitazama picha macho yangu yanakataa kwakweli (Tafakuri ya picha katika ulimwengu wa kiroho)


KUNA KIZUNGUMKUTI HAPA SIO BURE

Sent using Jamii Forums mobile app
kanzu ya mikono mifupi

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya waarabu ni ile michezo yao.....
Hivi nyie waarabu wa Bongo hayo mapanga mnaofunga kiunoni ni ya nini ?
Hivi Kanzu ya Lukuvi vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!!!! Kwahyo wameoana kimaslahi
Hapo kila mzazi anaangalia namna atakavyonufaika kwa ndoa hiyo
Nyie, hebu semeni Ma shaa Allah na tuwasifieni maharusi na tuwatakie ndoa ya heri na baraka.

Tuwasifie na wazazi wao.
Tumsifie na Lukuvi kwa kutubu kwa vitendo.

Mambo mema sana haya.

Allah ibariki ndoa hii, Allah wabariki wazazi na walezi, Allah wape hawa vijana furaha na amani katika ndoa yao na uwajaalie kizazi chenye heri.

Hongera vijana, hongera Aboud, hongera Lukuvi.
 
Hivi kwanini waarabu wanatuolea mabinti zetu lakini sisi hatuwaoi mabinti zao?
 
Back
Top Bottom