Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Hii thread FaizaFoxy na Ritz waliichangia sana mwaka 2012 lakini leo siwaoni na sijui kwa nini?
Mkuje huku mueleze huyo "KILAZA" kaingiaje UDOM na kusomea kozi za watu wanaotakiwa kuwa waelewa wakati kwenye matokeo kapeperusha bendera kibao za CCM!!

Tujibu vitu feki?
 
nawe huna tofauti na jesca onesha ndiyo neno sahihi kumaanisha elekeza onyesha linatokana na neno onya wakina jesca mko wengi


Na wewe ni nani ndugu, umefanana na nani?...Ni jambo baya mno kumsema JESCA asiye na kosa...Unaweza ukaeleleza humu JF kosa la JESCA ni lipi?
 
Mkuu nina kilaza wangu alikuwa anasoma udom amepata 3 ya 23 nilikuwa nataka nimpeleke hicho chuo lakini kuna mwanjf kaishia kunitukana
pole mkuu hawa lumumba ni wepesi sana kama tishu kwenye hoja labda kwasababu wengi wao ni vila.......
 
Na wewe ni nani ndugu, umefanana na nani?...Ni jambo baya mno kumsema JESCA asiye na kosa...Unaweza ukaeleleza humu JF kosa la JESCA ni lipi?
dada wa watu hana kosa bali umma unataka kujua alifikaje udom
 

Anheuser;
Mnachotaka kuficha hapa ni nini? Tunataka kuueleza umma kuwa; Usitupe mawe kwenye nyumba ya jirani wakati weye wakaa nyumba ya vioo.
Ulipowaita watoto wa wenzio "vilaza" wakati unatetea kuwafukuza UDOM, tena ukadiriki kusema ati "It is only in Tanzania" Mtu anaingia chuo kikuu na F zote 4. Ati mtu kapata D 4 anaingiaje UDOM!!! Sidhani ka ulijua wenzako wana mjua mwanao Jesca. Hapa kama sio hilo jina lake, si angepeta tuuu???
Acheni tujionee live, makengeza haya
 
H

Hilo jamaa pumbavu sana sijui anamtangazia nani usomi. Unaweza kuta ni jitu jiiinga la mwisho. Msomi msomi umelifanyia taifa nini cha kujivunia? Fankuuuron
Natuliza mihemuko ya wapumbavu kama wewe humu jamvini na kuondoa unga wa ndele mliolishwa na Mbowe. Tusipowatuliza hamchelewi kuwa panya road na wabakaji maana huwa mkichafua nchi Mbowe na mifugo yake huja na lawama kwa srikali. Hivyo ninavyowatuliza kwenye bao bonye huko uraiani amani inatawala. Hayo ndiyo elimu yangu imelifanyia taifa hili
Pia elimu yangu imesababisha bi mkubwa wako kuniamini na kusababisha wewe ukapatikana. Je unaswali la nyongea?
 
Wewe unadhani alifikaje hapo, leta ushahidi hatutaki longolongo za vijiweni...
mi sijui ila nyie wa miaka 1954 mnaweza kutusaidia siye wa 90s nyie mmekula chumvi nyingi mnayafahamu haya mambo atakuwa alifikaje
 
unataka uniambie kila anayehoji uhalali wa jesca kufika chuo kikuu ni team mbowe ? Acha ushamba kijana usidhani kila mtu anaakili kama zako za kushikiwa nyie ndiyo mnaosababisha nchi hii ionekane ya vilaza muda wote mnawaza siasa badala ya kuwaza Tanzania kwanza
 
mi sijui ila nyie wa miaka 1954 mnaweza kutusaidia siye wa 90s nyie mmekula chumvi nyingi mnayafahamu haya mambo atakuwa alifikaje

Kwani ulijuaje kuwa sisi au mimi ni wa 1954??? Mtu akiandika ID yake ni 2014 kwa hiyo ni wa 2014? Pamoja na hayo sisi baadhiyetu tutafahamuje hayo unayosema au swali lako la alifikaje? Baadhi yetu hatuna haja ya kuuliza na kulijibu swali hilo. Kwani wengine walifikaje?
 
ila sikuwa na imani na jpm tangu mwanzo.,......ila hivi sasa
imani imekuwa less yani............
ni wale wale2,.
naamini kale kamsemo usimwani mwanasiasa kamwe,.yeye kazi yake ni kuwaza uchaguzi ujao ashinde,.huku akipiga propaganda kuwa ni mtatuzi na mtetezi wa raia,.kumbe ni unafiki2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…