Hii Tanzania yetu ni
Kama habari zinazotuijia ni za kweli basi Rais atakuwa hajawatendea haki hawa vijana. Diploma za miaka 3 ya Ualimu hazikuanza leo. Mkwawa kilikuwa Chuo cha Ualimu ambacho kilikuwa kinachukua wanafunzi kwa mtindo huu wa UDOM. Inawezekana kabisa Rais alikuwa mmoja wa hizo program. Walikuwa wanafanya form five na six then diploma 1 year. Ndiyo maana nafikiri alipotoka Mkwawa alikwenda kufundisha moja kwa moja kabla ya kwenda Chuo!!!!
Nenda jamii photoHv jamani picha ya Jesca bado haijapatikana tu...au imenipita...???chonde chonde...jamani tumuone Jesca wetu.
Wale uvccm wenye ukilaza wa angalau walichungulia humu wakakimbia maana waliona pa moto, sasa kuna kilaza wahed anaitwa @msoro69 huyu hata chuo hajaenda lakini na yeye akajifanya anatetea humu watu wakaona wanajadili na kilaza namba mbili (baada ya jes) wakampotezea maana hata mihula ya chuo haijui.Ahahaha UVCCM wanajitahidi kuufukia huu uzi lakini wameshindwa.
Ahahaha UVCCM wanajitahidi kuufukia huu uzi lakini wameshindwa.
Wale uvccm wenye ukilaza wa angalau walichungulia humu wakakimbia maana waliona pa moto, sasa kuna kilaza wahed anaitwa @msoro69 huyu hata chuo hajaenda lakini na yeye akajifanya anatetea humu watu wakaona wanajadili na kilaza namba mbili (baada ya jes) wakampotezea maana hata mihula ya chuo haijui.
Tatizo la watu wengine hawatizami ukweli hujitutumua kupinga kila kitu hata kama kina ukweli. Muasisi wa CCM Bwana JK Nyerere hapo awali aliandika kitabu cha TUJISAHIHISHE akitambua kwamba sio kila tendo la waliopo madarakani ni sahihi.Wale uvccm wenye ukilaza wa angalau walichungulia humu wakakimbia maana waliona pa moto, sasa kuna kilaza wahed anaitwa @msoro69 huyu hata chuo hajaenda lakini na yeye akajifanya anatetea humu watu wakaona wanajadili na kilaza namba mbili (baada ya jes) wakampotezea maana hata mihula ya chuo haijui.
Kweli kabisaaaTatizo la watu wengine hawatizami ukweli hujitutumua kupinga kila kitu hata kama kina ukweli. Muasisi wa CCM Bwana JK Nyerere hapo awali aliandika kitabu cha TUJISAHIHISHE akitambua kwamba sio kila tendo la waliopo madarakani ni sahihi.
Natumai ni vema tuakapita kwenye hilo andiko. Kuna sehemu sisi kama binaadamu tunateleza na kukosea sio vibaya TUKAJISAHIHISHA. Sio jambo la aibu au vibaya kukiri makosa na kuomba msamaha kwa uliowakosea.
Kweli kabisaaa
Hakuna academic privacy duniani kote? Sasa mtu kama wewe jamani huna hata a smidgen of exposure ya dunia inavyokwenda, tutajadili nini na wewe?
Total waste of time.
Kwa hiyo kubandika matokeo ukutani kumekomesha wizi wa vyeti?
Ni utafiti gani umeonyesha kwamba watoto wa zamani walikuwa wanafaulu zaidi kwa sababu matokeo yalikuwa made public?
Halafu unawaita watoto mburura. Hivi mtu mwenye akili unaweza kumuita mtoto mburura kwa sababu kapata division IV? Such an unbridled moral decay in the nation.
Unaficha matokeo ili iweje?
Matokeo ni bora akapewa mtu mwenyewe na wazazi wake kwa sababu unapomzodoa mtoto kwa kumtangazia matokeo mabaya unaweza kumuachia trauma ambayo itafanya achukie shule moja kwa moja na asijaribu tena.
Na pia unapomtangaza kwamba alifeli shule, na ukamuita kilaza hadharani, kama mheshimiwa Rais alivyofanya kwa wananchi wake vijana, huyu mtu husaidii kumuachia confidence ya kujaribu mambo mengine nje ya taaluma kwa sababu umesham label kwamba ni failure, kilaza, maishani. It is not very constructive by any stretch.
But more than anything, sio kila aliyefaulu shuleni amekuja kuwa model citizen maishani, kama ambavyo si wote waliofeli shule wanaishia kuwa hohehahe mbeleni. Raia mmoja wa nchi hii ambae alianza kama mpiga shoe shine hakuwa na elimu ya kutisha wakati akiijenga Azam, lakini kwa sasa anamiliki the biggest business conglomerate in the country na anaajiri wasomi wetu wa kila aina. Kama taifa tusidharau makundi ya watu ambao hawakufanya vizuri shuleni, hawajapoteza nafasi ya kuwa hazina kwa taifa.
Nimefeli shule, ndio, lakini sioni kama hilo linadhoofisha hoja yangu kwamba kubandika matokeo ya watoto na kuwaita vilaza kwenye hotuba za Rais haijengi. Kama ni mikopo na nafasi za vyuo ni wao wenyewe wamewapa, kwa nini Rais awatukane?
Unapotaka kutatua tatizo la uduni wa elimu nchini haisaidii kujikita kwenye kulizodoa kundi la ambao hawakufanya vizuri.
Kweli kabisa...inawezekana ikaingia kwenye kumi bora za JFHii ndio post iliyopata umaarufu kuliko nyingine zote mwezi huu.
kabisaKweli kabisa...inawezekana ikaingia kwenye kumi bora za JF
kinacho angaliwa hapa si kuhusu kuferi au ukilaza wake kama anavyosema baba jeska, ishu ni namna vilaza wa vigogo wavyoweza kujiunga na vyuo au kupata feva kama ilivyotokea kwa The jesca kusjiliwa chuo kikuu na iv ya 30..na si ajabu waliohusika na hili wakabaki salama salimini.Acha wafeli ili nao wafeel tatizo la mfumo mbovu wa elimu. Bravooo Jesca
haya mkuu. kwa yeye inawezekana. mimi wangu alipigwa chini na matokeo kubaki vilevilewadau kuna jamaa angu yupo necta amenambia mtoto wa magufuli kumbe baada ya matokeo kutoka alikata rufaa na kupata division III hivo kuendelea na advance