Hivi mtu akikata rufaa na kufanikiwa matokeo yake hayabadilishwi kwenye mfumo (system)?wadau kuna jamaa angu yupo necta amenambia mtoto wa magufuli kumbe baada ya matokeo kutoka alikata rufaa na kupata division III hivo kuendelea na advance
Wewe uliyefanya research mbona hujasema amefikaje chuo.Acheni Upumbavu. hivi mnadhani kuwa Huyo Jesca hana Sifa za kumwezesha kufika hapo? muwe mnafanya research ya kutosha ndio mje kuandika huku...
Yanabandikwa actually is veru rare kushinda /kubadilisha. Nimesema very rare basi atakuwa na bahati lakini kwa ufaulu ule hawezi kushinda rufani hiyo ni kutaka kumbeba tu!Hivi mtu akikata rufaa na kufanikiwa matokeo yake hayabadilishwi kwenye mfumo (system)?
kinacho angaliwa hapa si kuhusu kuferi au ukilaza wake kama anavyosema baba jeska, ishu ni namna vilaza wa vigogo wavyoweza kujiunga na vyuo au kupata feva kama ilivyotokea kwa The jesca kusjiliwa chuo kikuu na iv ya 30..na si ajabu waliohusika na hili wakabaki salama salimini.
hujaelewekaNaomba alimaliza udom ateuliwe kuwa mkurugenz wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu
Ya DIV 4.30 matokeo yaliwekwa... na wewe weka ya rufaawadau kuna jamaa angu yupo necta amenambia mtoto wa magufuli kumbe baada ya matokeo kutoka alikata rufaa na kupata division III hivo kuendelea na advance