Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mihemko mibaya jadilin hoja sio watu bint kamaliza 2011 sasa 2012 cheti mwaka 1akaunga diploma miaka 2 inakua 2014 mwez wa tano then udahili unaanza mwez wa sits sasa shida nini mbona watoto wa maskini kibao wanasoma kupitia hiyo
Kweli wewe ndio ujielewi
Cheti -Octoba 2012-Julai 2013
Diploma 1-octoba 2013-julai 2014
Diploma 2-octoba 2014-julai 2015
naomba ufafanuzi wa icho chuo cha mwezi wa 5
 
Hapa Magufuli anatakiwa atoe ufafanuzi!Mwanae naye ni jipu,sio watoto wa wanyonge tu!
 
Hivi wakuu hadi sasa uzi uko page ya 116 hakuna hata kapicha kamoja ka huyu kilaza?.Mwenye kapicha kake tafadhali!!
 
Acha uvivu wewe au ficha ujinga wako,unafikiri ingekuwa rahisi hivyo huu uzi ungefika ukurasa wa 116 au wewe ndo una akili sana sio?.Soma kurasa za nyuma hayo yote unayohorojoka yameshatolewa ufafanuzi.Au kama kichwani uko vizuri,fanya hiyo hesabu mwenyewe kwamba amesoma hiyo certifacate lini na diploma lini na sasa yuko UDOM mwaka wa pili kafika lini.
 
Nae kilaza tu achana nae
 
Mihemko mibaya jadilin hoja sio watu bint kamaliza 2011 sasa 2012 cheti mwaka 1akaunga diploma miaka 2 inakua 2014 mwez wa tano then udahili unaanza mwez wa sits sasa shida nini mbona watoto wa maskini kibao wanasoma kupitia hiyo
Na sisi hatutaki sasa.Wewe unataka kusemaje kwani kwamba Jesca sio Kilaza au?
 
Huu ukimya so wakaida....gerson msigwa vepeee?umeishiwa karatasi?
 
Walalahoi wa ccm wakiuona huu uzi wanatamani kujinyonga.Eti mkulu kavuliwa nguo
 
Kila nikikutana na hii thread huwa naona haina haja ya kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…