Bado unakariri. Hujauliza wahusika umesema kitu hakipo wakati kinatekelezwa.nikaulize kitu ambacho hakipo
Usijifanye mjuaji na kuwafanya wengine wajinga hayo matokeo ni yake, nikukumbushe tu hapa watu hawajadili matokeo yake maana unaweza kufeli ukatumia njia zingine kufikia malengo hapa watu wanajadili jinsi alivyofika chuo kikuu kwa miaka 2.So Nawe Unaamini Kwmb Haya Matokeo Ni Ya Mlengwa?
Kuna mtu amesema Jesca alienda kwa program maalumu ya mwendokasi!
First Name: Dr. JohnView attachment 353228
St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
View attachment 353229
NECTA CSEE 2011
Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM.
======
kwanza nikuulize hivi we una elimu gani,sababu huenda na bishana na mtu ambaye alikimbia umande,nimemaliza udom last year hakuna utaratibu huo unaousema wewe..labda udom yako wewe na jesca ndo kuna huo utaratibuBado unakariri. Hujauliza wahusika umesema kitu hakipo wakati kinatekelezwa.
Wewe boya ulikuwa mwanafunzi. Nenda kaulize wanaofanya udahili unaogopa nini wakati ulikuwa hapo pengine hata kitambulisho hujarudisha.kwanza nikuulize hivi we una elimu gani,sababu huenda na bishana na mtu ambaye alikimbia umande,nimemaliza udom last year hakuna utaratibu huo unaousema wewe..labda udom yako wewe na jesca ndo kuna huo utaratibu
Ndugu usiangaike kubishana na huyo kilaza, ukisoma post za nyuma nilimjibu wee nikaja realize nabishana na mtu aliyefeli darasa la saba... kaunga unga nae kanunua smartphone basi kajiunga kwenye social media halafu kichwani hana kitu, hivyo kubishana nae ni kupoteza muda wako tu huyo mtu hajasoma na hajui anachokizungumza ndio maana nilimpotezea kitambo baada ya kujua ni mpumbavu ambaye hajasoma...hivyo achana na kilaza huyo unapoteza nguvu zako kwa mtu asiye na akilikwanza nikuulize hivi we una elimu gani,sababu huenda na bishana na mtu ambaye alikimbia umande,nimemaliza udom last year hakuna utaratibu huo unaousema wewe..labda udom yako wewe na jesca ndo kuna huo utaratibu
Unaandika pumba sanaMimi Mtu Wa IT Wewe Huwezi Kuniaminisha Kila Kitu Kisa Ni Picha, Kwani Mtu Anashindwa Kufanya Editing Hapo?!.
Kama We Ungekuwa Si Pumba Si Ungeweka Matokeo Ya Dada Yako Hapa, Mbona Unaweka Ya Adui Yako?!.
First Name: Dr. John
Middle Name: Pombe Joseph
Last Name: Magufuli
Constituent: Chato
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O. Box 9144, Dar es Salaam
Office Phone: +255 713 322 272/+255 754 292 580
Office Fax: + 255 22 2124505
Office E-mail: jmagufuli@parliament.go.tz
Member Status: Active
Date of Birth: 29 October 1959
Chato Primary School (1967-1984)
- EDUCATION
Primary School
Lake Secondary School - Mwanza (1977-1978) Secondary school or High School
Secondary School
Katoke Seminary Biharamulo, Kagera (1975-1977) Secondary school seminary?
Secondary School (CSE)
Mkwawa High School (1979-1981) High School with Diploma in Teaching 3 years (High school repeated?)
Secondary School
Mkwawa College of Education
Diploma in Education (Sc.) Chem, Maths&Edu. (1981-1982) Diploma (Hapa tena) that make 4 year for Mkwawa Diploma which was for 3 years by those days
University of Dar es Salaam
B.Sc Ed. (Hons) Chem.&Maths (1985-1988) Bachelors Degree
Salford -U.K.
M. Sc. (Chem) 1991 1994 Masters Degree
University of Dar es Salaam.
PhD (Chem) 2006 2009 PhD
Kwani mtoto wa watu amefukuzwa? Mh hakuna wa kumtoa pale. watatoka wa kwenu. Sawa na ile ya BOT, hakuna mtoto atakayefukuzwa!Kufikiri nje ya sanduku au kwa kizungu out of the box sio dhambi, Jamani mi nadhali huyu profesa wa elimu alijua kabisa ishu ya Jesca lakini akashindwa kumtumbua moja kwa moja maana kisu kupita kwenye mfupa mara nyingi huwa ni ngumu, hivyo akaamua kutimua wote ambao mkubwa kawaita vilaza huku akijua kabisa dada yetu hatakua salama maana, watakaokumbwa hawatakubali kuubeba msalaba wenyewe! na kweli bwana ''kila mla huliwa'' walioliwa hawakukubali nao wakala.. au nyie wenzangu jamvini hamna mawazo kama yangu?
Yes mimi ndiye nina akili, maana hao wengine wangetupa evidence kaingia kwa utaratibu gani. Unaweza kusoma masomo ya A-Level huku ukitafuta credit ya O-level kutokana na makubaliano na shule husika.Kwa hiyo hawa wote waliojadili huu uzi mpaka pg 120 hawana akili ila wewe, hivi unaweza kutumia njia gani within 2 years kufika chuo kikuu?
Ukimaliza utadahiliwa na TCU lakini sio NACTE kama yeye alivyodahiliwa na NACTE.Yes mimi ndiye nina akili, maana hao wengine wangetupa evidence kaingia kwa utaratibu gani. Unaweza kusoma masomo ya A-Level huku ukitafuta credit ya O-level kutokana na makubaliano na shule husika.
Sasa wewe ndio kilaza wa kwanza maana hao wameisha leta uthibitisho wa kwamba kadahiriwa kwa equivalent qualifications yaani diploma kupitia NACTE na sio TCU ambao wanadahili wanaotoka form 6 direct, siku nyingine usikurupuke kuonesha umbumbumbu wako.Yes mimi ndiye nina akili, maana hao wengine wangetupa evidence kaingia kwa utaratibu gani. Unaweza kusoma masomo ya A-Level huku ukitafuta credit ya O-level kutokana na makubaliano na shule husika.
Sasa wewe ndio kilaza wa kwanza maana hao wameisha leta uthibitisho wa kwamba kadahiriwa kwa equivalent qualifications yaani diploma kupitia NACTE na sio TCU ambao wanadahili wanaotoka form 6 direct, siku nyingine usikurupuke kuonesha umbumbumbu wako.