Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

bado jibu halijapatikana ?
Baba Jesika njoo huku unyooshe maelezo
 
mkuu nimekuelewa but ngoja inatakiwa nimshikishe adabu kwanza
 
Tatizo baadhi ya walimu wanajihusisha na siasa za wapinzani uchwara wa nchi hii. Unawezaje kutoa Privacy za mtu wakati mfumo wa kutumia majina Necta ulishapitwa na wakati. Badilikeni NECTA Staff msio waadilifu acheni kazi ya kutoa particular za watu. Secrecy iko wapi?
 
Jibu la hili swali kuhusu Jesca halitapatikana kirahisi hivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…