Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

...mkuu hawa wanaotokwa povu wengi wao ndio wale 7000 aka vilaza
 
Hiyo taarifa umeniwekea mimi?
 
Umelisoma hilo tangazo na kulielewa?...Kuna sehemu aneandika 'Hii ni kwa sababu TCU bado haijafungua mfumo wa udahili wa pamoja (CAS)'..Ukiisoma vizuri utagundua kwamba NACTE ni ngazi...NACTE ni kama NECTA tu kwa wanafunzi wa kidato cha sita...

Mtu anaweza kumaliza form 4 akasoma certificate then Diploma akapewa cheti kinachotambuliwa na NACTE...Cheti hiki cha DIploma ndicho kitamsaidia kupata udahili wa TCU kwa ajili ya Degree...Hivyo NACTE hawadahili wanafunzi wa degree...NACTE ni ngazi tu
 
Mkuu...Mimi naomba unieleweshe namna NACTE wanavyodahili wanafunzi wa degree...Nijuze tafadhali.
Hawawezi kukwambia kamwe kwakuwa wamekurupuka kukopi screen short zilizo editiwa vibaya teh teh...
 
Acha ujuaji nacte wanadahiri wanafunzi wa chuo kikuu pia kama TCU wale waliotoka ngazi ya diploma sasa unaleta ujuaji wakati hujafuatilia chochote ingia Google hayo mambo yapo kwenye website ya UDOM na alichaguliwa mwaka 2014 mwaka. Wa kwanza kitu ambacho hakiwezekani kuwa kashamaliza diploma kwa miaka miwili
 
Kuna sehemu wameandika Udahili wa pamoja nadhani umeparuka.
 

Hivi wewe unajua kusoma kweli? Hivi unafikiri hili ni jukwa la vilaza?
 
View attachment 353085View attachment 353086
Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM
Sitaki kucomment kuhusu matokeo kwani sina uhakika na chanzo cha info.
Ninachotaka kusema ni kuwa Ilichofanya serikali ni kwa ajili ya manufaa ya taifa. Sidhani kama serikali au magufuli wanawachukia wanafunzi wa UDOM waliofukuzwa. Hawa watu baada ya kuhitimu diploma wangeenda kufundisha wanafunzi wa olevel. Natoa mfano, kwa wale waliosoma physics olevel, imagine huyu MTU alipata D ya physics. Imagine pia alikosa swali la "Archimedes principle"ambayo ni topic ya form 1 aliyoisoma kwa miaka 4 na akashindwa kujibu swali lake la necta. Then unampeleka chuo anasoma say miaka 2 anajifunza tena Archimedes principle ili akaifundishe form one. Je Hutu MTU ataielewa hii principle kwa miaka 2 kama alishindwa kwa miaka 4? NB: kuna topic ngumu olevel zaidi ya huu mfano nilioutoa, Je Huyu mtu atazielewa zote ili akafundishe watu wengine waelewe.?
Watanzania wenzangu tunahitaji mabadiliko ya nchi yetu, na Rais ndo anatuongoza kuyaleta. Kumkosoa Rais ni muhimu lakini siyo kila jambo hata ambalo ni Jema kwa maslahi ya taifa
 
Hata kama yupo UDOM hawezi hakawa alipotia NACTE na wala matokeo ya kidato cha nne hayakutumika!
Nyie ndio watetezi wa serikali angali yanayofanywa na serikali hamyajui...

Sishangai ndio maana Waziri wa Michezo alisema kirefu cha TFF ni Tanzania Football Association..

Haishangazi hata kwako kwa mapovu ya kuitetea CCM yanavyokutoka humu kumbe hujui hata yanayofanywa na hiyo serikali mnayoitetea..

Ngoja nikwambie mkuu... Karibia watetezi wote wa CCM mliokuja hapa mlikuja na gia ya NACTE hawadahili kwahiyo ni uongo na ni screenshot za kutengeneza.. Almost wote mmekuja na motion hiyo.. Je, ni nani anawatuma cha kuja kuandika humu??? Au ni akili zenu wote zinafanana??
 
Mburulaz wakimaliza kusoma hapa waangalie na hii...
View attachment 353103



Na wakiendelea kubisha wafungue hapa wakaone list ya vyuo vyote walivyodahili NACTE..

http://41.93.31.136:8080/Selections/UnderGraduate.jsp?InstCode=DM
Yet unawaita wenzio mburula....Doh!...

Sasa umeweka nini hiki...

Hayo ni majina ya watu waliodahiliwa na TCU kupitia NECTA...Hoja hapa sio huyo binti hayupo UDOM....Hoja anayobisha Ruta ni kusema kwamba huyo binti amedahiliwa na NACTE kwenda UDOM...

Halafu, huyo binti amemaliza kidato cha nne mwaka 2011..What if ali reseat mwaka 2012 akapata credit.. Then akasoma certificate mwaka mmoja na Diploma akapata sifa ya kudahiliwa na TCU...

Bahati mbaya watu wanataka kulinganisha suala la huyu binti na wale wanafunzi wa program maalum ya ualimu walioondolewa UDOM..Wale walienda UDOM mara baada ya matokeo kutoka...
 
mdogo wangu alisoma certificate kisha diploma na baada ya hapo akaomba digrii kupitia nacte....anamiliza now mwaka wa tatu so wanadahili...,,huyu mtoto wa magu amefata mtiririko huo?
 
Mnatafta Uadui na nani Magufuli Mwenye au JF na Serikali acheni kufuatilia maisha ya watu kihvo kama Ni Kweli, Kwan kumfuatilia mtu kihvo Ni mojawapo ya Dalili za Uchawi okay Mlete Uzi Fanya lile Moto Wako umekusudia , Kwa mwendo huu mtaiua JF. Kwanza itaonekana wote tulioko humu Ni wapinzani na huku wengine sisi hatuna hata vyama wala dini wala kabila ooooh pole Sana.
 
Hapo nakuelewa mkuu mana hata mkulu leo amesema ni bora ukimaliza 4 uende kwanza cert, dip then bachelor degree
Kumbe alijua alichokuwa anatetea
Hujui unachokisema wewe certificate mpaka diploma ni miaka mitatu na kwakua alimaliza shule mwaka 2011 alitakiwa aanze degree mwaka 2015 lakini yeye kaanza 2014 sawa kabisa na waliosoma nae o_level waliofauru nakwenda form five n six next time fikiria kabla ya kusapoti usichokijua au na wewe umesoma elimu ya hapa na pale
 
Kichwa maji kabisa na wenzio NACTE toka lini ana dahiri wanafunzi wa chuo ki kuu?

Hivi nyie mbona wajinga sana?
My staffmates wawili wapo vyuo vikuu mwaka wa kwanza kupitia NACTE.
1.Yupo SUA ameingia last year
2.Yupo UDSM ameingia last year
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…