Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Maaaan, halafu? Iweje baada ya kupost hapa?
Ha ha ha......do u wanna be her or what?
Does it add any value to you anyhow?
 
Daah vyuoni kuna madudu hivi? Mtu ana div 4 ya 30 baada ya miaka 2 anaingia CHUO KIKUU? Baada ya mwaka anachukua MA..Ptuuuu
 
Umeona eeh! Mkuu halafu anatuzuga eti kajitoa kafara kupambana na mafisadi.
Mimi kwenye kupambana na mafisadi wala simwamini na wala sio muumini wa vita vya kukomoana...

Ajenge uchumi tuuone unajengeka... 7 months zimepita zaidi ya lile dili la bomba la mafuta ambalo nalo ni kwa msaada wa Al Shabab ndio tumelipata sijaona kingine kilichofanyika.. Mtaani pesa imekuwa ngumu, watu wameshaanza kuchomana moto kwa uwizi kitu ambacho tulishakisahau kwa miaka mingi tu..

Fiscal and Monetary Policies awamu hii hawazijui kabisa, ndio maana wanatoa pesa kwenye mabenki ya biashara na kwenda kujifungia nazo ndani alafu wanaamua na kubaka kabisa government expenditure ili sijui pesa izaane yenyewe huko Ikulu... Leo hii pita benki zote kitengo cha Mikopo uone wafanyabiashara wanavyoshindwa kurejesha marejesho yao.. Juzi nimesoma gazeti la Mwananchi lina Public Notice kutoka kwa benki kama nne tofauti zikitangaza kufulisi watu.. Hali ni mbaya mkuu... Tusubiri labda bajeti ikipita wataiachia hiyo pesa inayozaana yenyewe huko Hazina..
 
Maaaan, halafu? Iweje baada ya kupost hapa?
Ha ha ha......do u wanna be her or what?
Does it add any value to you anyhow?
Si uandike tu kwa kiswahili ndg.
sisi wengine santi kayumba,hivi vingereza vyenu hatuelewi.
 
Siyo vema kupost matokeo yamtu kwenye mtandao bila ridhaa yake.
 
Moderator athibitishe isiwe kumchafuwa Rais wetu na familia yake.
 
Uchumi wa nchi haujengwi kwa muda mfupi hivyo kijana, subiri utakubali mwenyewe bado miaka mi4 na nusu.
 
Dah nikikumbuka kauli ya kilaza ya magufuli aiseee kumbe jesca wake alipata division five aka zeeeero in magufuliz voice
 
Hakuna msafi hapa niupuuzi mtupu eti ana moyo wa dhati. HAkuna lolote .
Hiyo kauli naichukia kuliko chochote " Naongea haya kwa dhati kutoka ndani ya moyo wangu" huu ni unafiki wa ziada
 
ila sina hofu sana,yawezekana walionyuma ya habari hii ni kikundi cha maadui zake wenye nguvu ndani ya mfumo wa CCM.acha kwanza tuusome mchezo ili tu-connect dot vizuri.
Hamna cha watu maadui wala nini unataka kusema ndo walimwandikia mtihani apate hyo division. Akiwa udsm nimemskia akisema kuna watoto wa vigogo walifeli na wako udom wanachukua bachelor. Swali huyo jesca kafikaje though hatua aliyochukua kutimua wasio na qualifications ni nzuri
 
Ondoa ujinga apa kabla yaku2mbuliwa hamkuyajuwa haya? Achen kuchafuwa familia ya Rais. Plz
 
Haaaa... Eti kwa msaada wa Al shabaab [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Uchumi wa nchi haujengwi kwa muda mfupi hivyo kijana, subiri utakubali mwenyewe bado miaka mi4 na nusu.
Hata nyumba haijengwi tu ghafla ghafla... Kuna maandalizi mazito kabla hata ya kununua matofali na saruji..

Je, kuna sera yeyote ya kiuchumi, mianya yeyote ya ukwepaji kodi, mapitio yoyote ya mikataba tata imefanywa mpaka sasa kabla ya kwenda huko mnakosema tutafika 2020?? Au ikifika 2020 mtasema kipindi chetu kinaisha 2025 kwahiyo miaka hii mitano ya mwanzo tulikuwa tunasafisha nchi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…