Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Certificate mwaka 1. Diploma miaka 2 sasa kama kamaliza Nov 2011 leo 2016 atakuwaje mwaka wa pili UDOM? Halafu Maths na Commerce kapata F atasomaje BCom?
 
Japo sijausoma Uzi wako wote najiuliza tu ile si ilikuwa ni special diploma hizo chenga zote za nini
 
kwa mnaofahamu tunaomba mtusaidie kujua huyu Jesca yuko wapi kwa sasa, maana huwa nasikia kuna Mtoto Wa mkuu Yuko ndani ya viunga vya udom ila sijui kama nihuyu Huyu au mwingine
 
weka na matokeo ya Advanced level. Bila shaka hakwenda chuo kikuu kwa matokeo ya form 4. weka yaliyompeleka UDOM. Usijaribu ku make up story. Form 4 hiyo ilikuwa mwaka gani? Yuko UDOM mwaka wa ngapi?
Sasa division IV anaenda A level?
 
Acheni kupotosha umma nyie,huyo binti amesoma diploma ya HRM chuo cha utumishi wa umma magogoni ndio akaenda udom.
 
Yeye sio kilaza, vilaza ni wanafunzi wa UDOM waliotimuliwa kwa kungia UDOM wakiwa na division four
 
Kwa mwalinu kumwita mwanafunzi kilaza si sawa, ni kama unyanyapaa
 
Afu nashangaa,majitu mazima humu na heshma zenu,mmekalia kukasengenya katoto kadogo ambako hakajai hata kiganjani.pathetic
 
kwa mnaofahamu tunaomba mtusaidie kujua huyu Jesca yuko wapi kwa sasa, maana huwa nasikia kuna Mtoto Wa mkuu Yuko ndani ya viunga vya udom ila sijui kama nihuyu Huyu au mwingine

Kwa hiyo kama yupo UDOM, unasemaje?
 
Salaaleh! Kumbe hata watoto wa Malaika wanapata 'division FOUR'
 
Kuja kufikia 2020,watu wengi watakuwa na mapresha kwa ndonga anazowapa magufuli,ngosha hajui kumung'unya maneno

Ustaarabu unadai pia aanze na kukiri kwamba akiwa waziri katika serikali ya awamu ya 4 walifanya kosa na sasa wanalirekebisha sio kupayuka kama vile yeye si sehemu ya tatizo. Kama vile ndio kwanza amewasili nchini na kukutana na "maajabu".
 
kwa mnaofahamu tunaomba mtusaidie kujua huyu Jesca yuko wapi kwa sasa, maana huwa nasikia kuna Mtoto Wa mkuu Yuko ndani ya viunga vya udom ila sijui kama nihuyu Huyu au mwingine
Ndio huyo yupo UDOM huenda ni mmojawapo kati ya hao waliofukuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…