Hatukatai hayo lakini huyu binti alimaliza form 4 mwaka 2011 matokeo yakatoka 2012 ilitakiwa aanze cheti mwezi wa 9 2012 mpaka mwezi 7 2013 aanze diploma mwezi wa 9,2013 mpaka mwezi wa 7,2015 lakini huyu tayari yupo mwaka wa pili UDOM Alidahiriwa mwaka 2014.Huo mnaoueneza ni uongo ,DV 4 kwa mtu mwenye D 3 na C moja unakwenda chuo kikuu bila kupingwa ,unafuata hatua zifuatazo unakwenda certificate mwaka mmoj Then unaingia diploma miaka miwili,ukitoka unakwenda kusoma degree,Au option nyingine unaweza kwenda ualimu grade one,then unakwenda diploma,then degree...Tatizo kabla hamjatoa hoja chambua kwanza ndugu
Diploma huwa miaka 2 lakini kama ni hivyo kwanini rais aseme haiwezekani mtu aliyemaliza form 4 asiende chuo kikuu kulikuwa na haja gani kuwafukuza wanafunzi wa udom wanaosoma diploma kwa miaka 3.Mtu akiwa na D 4 anaruhusiwa kufanya professional course then asome foundation course kama atafaulu anaweza kuomba chuo kikuu na akakubaliwa.
So kwa nchi hii kama mtu akimaliza form 4 anaweza kuwa chuo kikuu baada ya miaka 2 bila kuchakachua popote.
Na kama ataenda kwa mtindo wakawaida kama alivyokua anasema rais ataanza na cheti mwaka 1, then diploma mwaka 1 halafu degree ni sahihi.
Ila hawezi kutoka form four tukamkuta chuo kikuuu
Cc:lizaboniView attachment 353194 View attachment 353193 St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
He has to feel the pinchduu jf bwana watu wakimwaga mboga wenzako wanamwaga ugali..baada ya jk sasa ni dr pombe..
Kama form 5 na 6 kafanya vizuri anaweza kuchuguliwa kwenda chuo kikuu.
Inakua tatizo kama hajapitia high level au certificate au diploma.
Hapana ni kufaulukwani div. 4 ni kufeli ..?
Somalia wanakuita ukamalizie kozi yakoUntetee nini na wewe nae, kila jina moja la madrassa mie natowa mawili ya Sunday school.
Aliyeongelea maisha ni nani?acha kukurupukakufeli mtihani siyo kufeli maisha ..acheni hizo.
Kwahiyo matokeo ya Necta ni ya uongo?Ana division 4 ya 27 ingia ucalculate vizuri sema kwa wabongo hawana dogo wamemuhesabia DD ili kumchafulia Na ana Diploma ya HRm,,,acheni ushabiki jmn