Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?


Kk unabisha wakati c tunamuona hapa chuoni kabsa
 
Umenena mkuu,na siku zote namini wenye akili huongozwa na Mpumbavu,hilo lipo ingawa wanaojua hili ni wachache
heshima itarudi tu!
 
Teh Teh JPM njo huku uone wanaJF wanavyosema.
Je ni nani alikuwa namlipia ada huyo mtoto Kilaza?
na je ni nani alifanya juhudi za kumtafutia nafazi huyo mtoto Kilaza?

Tatizo mnachanganya mambo! Magufuli hakusema kama mtoto wake si kilaza. Amesema vilaza na wengi ni watoto wa wakubwa wamedahiriwa udom. Yeye hakujitoa kama hayumo
 
Nyinyi..
Mmepotoka na Kumkosea Heshma Mtukufu Rais JPM
 
Binti wako Baba Jesca alihitimu Kidato cha nne mwaka 2011 matokeo yakatoka mwaka 2012 amepata Div. IV.30 maana hata kiswahili lugha ya Taifa alikula F. Kwa kawaida ilitakiwa aanze kusomea ngazi ya cheti mwezi wa 9 2012 mpaka mwezi wa 7, 2013 Kisha aanze Diploma mwezi wa 9,2013 mpaka mwezi wa 7,2015(Miaka 2) lakini huyu tayari yupo mwaka wa pili UDOM Alidahiliwa mwaka 2014. Tupe na sisi mbinu maana nasisi tunawatoto wapo tu huku mtaani na wamefaulu kuliko Jesca
Kumbuka Jesca amedhulumu nafasi moja ya mtoto wa kimasikini mwenye qualification, Mungu anakuona Baba Jesca. Tunashkuru sana jana kuwaita watoto wetu ni vilaza while wana div 1-3 na wamefaulu vzr science
 
he! hapa sasa mimi sisemi chochote nisije kupotea,,,,
 
Tatizo mnachanganya mambo! Magufuli hakusema kama mtoto wake si kilaza. Amesema vilaza na wengi ni watoto wa wakubwa wamedahiriwa udom. Yeye hakujitoa kama hayumo
Ufahamu wako si exceptional hadi kudhani unaelewa vema zile "NYODO" za Magufuli. Ukweli ni kwamba kama Baba/Mlezi wa wananchi wote,bila kubagua, Magufuli hapaswi kutumia kauli zile hata kama ni kweli kuna vilaza nchini humu.
Zaidi, yeye mwenyewe imedhihirika pasi shaka SHAKA mwanae ni popoma,na aeleze umma ali- maneuver vipi hadi kuwa 2nd yr UDOM.
 

we ni mbishi tu watu washakuambia alienda magogoni kusoma certificate, unabisha nini sasa?
 
Hahahahaaaaa JF kiboko! Matokeo yamejaa F F F tu!Kumbe mtoto wake ni mkuu wa vilaza Tanzania halaf anasimama anatukana watoto wa wenzake!Shit!
 
Nimegudua Hakuna mtu hata mmoja mwenye source ya uhakika. kila mtu anakurupuka kinyake. Sheria ya mtandao ikisimamiwa vizuri nauhakika humu ndani tunaki wachache. Haingii akiri mtu anasema hivi harafu huna fact. Bora ukae kimya...
 
Mkuu watu wanaongelea matokeo ya 2011 wewe unaleta ya 2015 kweli wewe ni kilaza plus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…