Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Kama yuko over 18 akahojiwe otherwise kwa vile mzazi wake ni Msema ukweli basi aulizwe yeye
kwani utaratibu wa kuweka namba badala ya majina ulianza lini? 2012 or 2013? Alivyopata hiyo div IV baba si alikuwa huyo huyo. Sidhani kama information hiyo ya huyo mtoto utaipata.
hii siyo yenyewe
 
Kuna mengine hatuwezi kuyaweka hapa maana tutaacha topic .
 

Programme: Bachelor of Commerce in Human resources management (BCOM-HRM )
Admission requirements: Diploma (NTA LEVEL 6)
-Diploma in human resources with second class or credit or B average
-Diploma in Accountancy or Business management with second class or credit or B average.
 
Nachoshikuru ni kuws binti Magufuli ame-neutrulize hoja za udini ingawa yeye Jesca na Mwanaisha wametimiza maandiko; "chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.'

Mbona sijaona issue ya UDINI hapo??Inachoshangaza watoto wote wawili wamesoma shule za mamilioni.Kuna Kilaza aliyesoma St.Kayumba mwaka huo huo katusua sasa sielewi huyu wa St,Kayumba akiwekewa miundo Mbinu stahiki sijui kama hawa wa mamilioni watatusua.
 

First Binti aliweza kupata entrance kwa sababu amequalify.Qulification yake kubwa ni Baba Waziri wa Barabara + Moneiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii=QUALIFICATION
 

Mimi nafikiri rais wetu anapaswa awe anachagua maneno ya kuongea maana naona sasa ni dhahiri bila shaka anapoteza mwelekeo mapema sana nahisi hana dira maana ni kama vile anaibuka tuu bila kujiandaa sijui wasaidizi wake kama kweli wanamsaidia na kumueleza ukweli vinginevyo ataendelea kutia aibu
 
Kile kiama cha vyeti alichotangaza ndalichako kianzie UDOM kwa jesi
 
Mi naona isingekua kufuatiliwa hata ya huyu mzee yawekwe hewani,mana naye naona kaungaunga tu.Kumbe mkuki kwa nguruwe.....watoto wa watu anawaita vilaza,kumbe naye anaishi na "KILAZA".Busara sometimes ni nzuri sana
Alivyokuwa anaongea utafirikiri watoto wake ni smart sana na wanapata Division 1 pekee.. Kumbe hakuna mwanaye yeyote aliyepata hata Division 2.. Aliye na akili sana alipata Division 3 form four, form six akafeli vibaya...
 

Duh,zamani matokeo yetu yalikuwa public na ndiyo sababu wanafunzi walisoma kuogopa aibu ya ZERO na Div Four.Sasa huyu St Mathew halafu division four na wa St.Kayumba apate nini??Na utakuta kuna wanafunzi wa St Kayumba alitusua lakini alikosa spnsorship ya serikali.

Kwa sasa Nalichako anatakiwa arudishe ile ya ZAMANI tuone matokeo ya watoto wetu kwa uwazi hakuna kuficha.Kama mtoto mburula ni mburula tu.Zamani tulikuwa tunasema amebunda yaani amefeli
 
Alivyokuwa anaongea utafirikiri watoto wake ni smart sana na wanapata Division 1 pekee.. Kumbe hakuna mwanaye yeyote aliyepata hata Division 2.. Aliye na akili sana alipata Division 3 form four, form six akafeli vibaya...
Kwa kizazi hiki nawaogopa wa TZ,ni wa baya kuliko moto wapetroli.Yaani wanatusua balaaa
 
Kiongozi Mzuri pamoja na familia yake huwa anakuwa Mfano Mzuri kwa Jamii Anayoiongoza,, Safi sana..
 
Hakuwa na sifa ya kusoma degree..alidahiliwa kwa sababu ni mtoto wa kigogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…