Weka pilipili Mkuu natoka dukani mbio na chumvi ya mawe mboga iwe tamu[/QUOTE!
Mbona unakuwa mkali wakati amekuambia alisoma Certificate Magogoni? Ina maana hufahamu kuna chuo kinaitwa Tanzania Public Service College almaarufu Magogoni?!Pumbavu!. Build up your understanding ndipo uje kutoa mavi yako hapa. Magogoni ndiyo kozi gani? Mbweha achana na mimi siyo wa kiwango chako kisichokuwa na uwezo wa ku reason. Mgogoni ndiyo nini? Pumbavu kabisa. Jibu BRN wenzio!
Mkuu naomba nikujibu kwa kawaida mtu aliyemaliza form 4 ukiwa na pass 4 unaruhusiwa kusoma cheti mwaka 1 diploma miaka 2 baada ya hapo unasoma degree miaka 2 sasa huyu binti kasoma miaka miwili tu ndipo akaenda chuo kikuu.Mkuu kwani huyu binti hakusoma certifecate na diploma? Maana kabla hatujahukumu inabidi hili tulifahamu
Inabidi mtu aliyesoma kiaina aina tumuite jesika....jipu liko sebuleniiiiiiiii
hahaaaaaaa jana kwenye hiyo hotuba mwangalie vizuri Ndalichako utakuta anamwangalia JPM halafu anamnong'oneza kitu JK halafu anacheka huku JK akiwa kanuna tu Hahaaaaaaa ufukuaji wa makaburi una raha yake ukifukua vibaya mwili wa maiti ya wenzio wa kwako anapigwa teke kule kudadadeki.Duh Magufuli anapewa za uso!!! Nadhani anatamani jana isingekuwepo. Tatizo kila kitu tunamueleza ila yeye anaamua tu.
Acha apewe tu maana hakuna namna!!
Certificate ndio akatumia kwenda chuo kikuu?Mbona unakuwa mkali wakati amekuambia alisoma Certificate Magogoni? Ina maana hufahamu kuna chuo kinaitwa Tanzania Public Service College almaarufu Magogoni?!
Mkuu kwani huyu binti hakusoma certifecate na diploma? Maana kabla hatujahukumu inabidi hili tulifahamu
Soma post Za nyuma utapata majibuMkuu kwani huyu binti hakusoma certifecate na diploma? Maana kabla hatujahukumu inabidi hili tulifahamu
Atakuwa alilisiti
Mi simo, isipokuwa c.c kwa JPM!Certificate ndio akatumia kwenda chuo kikuu?
Duh! Akina sie tumekwisha!Maujanja ni PESA na KNOW who
@lizaboniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii njoooo huku moto unawakaaaa
Ni kweli mkuu NACTE wana central admision system kwa wanafunzi wenye ordinary diploma. Ingia website ya NACTE utaonaMkuu mimi naomba unieleweshe namna NACTE wanavyodahili wanafunzi wa masomo ya shahada...
Kipindi mnawadahiri na kuwapa mikopo hawakuwa vihiyo? Chunga kauli yako.Hii thread wachangiaji wakubwa 90% ni failures wa category mbalimbali....ukweli utabaki palepale kuwa hao wadogo zenu vihiyo tuliowatimua UDOM ndo ishatoka....hawarudi tena ng'ooooooooooooooooo.....nyambafu!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]maguful anazipitia hiz comment...nahisi kama vile anajiskia kufakufa hivi kama si kujinyea..jeur,kiburi,na dharau kwa watoto wa masikini...ona sasa jamani kaumbuka
Yeskwani div. 4 ni kufeli ..?