Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

top ten hamna muislamu ata mmoja.mumetia aibu sana kwa mara nyingine.na yule wa kwanza kutoka Feza boys ni mkristo.itabidi mlazimishwe kusoma elimu dunia.

huu uislam na ukristo tunaoendekeza kila kukicha.. Jipu litapokuja tumbuka Usaa..!?
 
Mmmh wewe Utawala huu hadi kanisani utaingia... Unalo hilo... Adui Mpende... NAdhani kuna Kitu au ule Ushauri wa JK Kuwa wanaoitetea CCM kwenye Social Media Ankal Magu kaupuuzia so ndio umeona uoneshe hasira zako halisi?

Mbona Kikwete alipokuwa anakosea wewe ulikuwa unatetea tu kila uchwao au sababu ya mfuasi mwenzako wa pale Kibra
 
Mmmhh kumbe naye ni kilaza mbona anazaa vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…