Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Magufuli lazima atoe tamko kesho hata kupitia kwa Makonda au Sendeka....
 
Hizo ndio alizokataa Rais juzi and im telling kwa uwezo mdogo unaobainishwa na matokeo ya huyo bint.. Labda diploma zile geresha otherwise hawezi faulu. Ushindwe miaka 4 ufaulu miezi 9. Kiukweli tumeharibu elimu
 
Political damage ni kubwa sana.....kama ni counter attack hii imevunja rekodi,watu wamesawazisha na kutupia goli nyingi,mabeki wa Lumumba wanautafuta Mpira kwa tochi na wengine wameanza kulaumiana na kupigana
 
Sidhani,ina maana mwaka 2012 huyo kihiyo alikuwa ameshaingia UDOM wakat hayo matokeo ya form four ni 2011?
Threads zimeunganishwa... kuna ya 2012 ambayo ilitoa matokeo ya Jesca na ya leo yanayoonesha hatimae dada Jesca anabukua yunivasite akitokea chuo cha Magogoni!
 
Jesca kawa maarufu sana
Kama Mwana'fulani' kipindi fulani.
Ila kama anataka kukomesha mzizi huu...wafitina; utaratibu ufuatwe. Niliwahi kukumbana na mwalimu fulani ambaye alikuwa anamfundisha mwanaye shule aliyokuwa anafanya kazi. Huyo mwalimu alikuwa balaa...alikuwa "anamkamata" hata mwanaye...walimu wenzake wakawa wanafanya mbinu za kumsaidia mtoto wake afaulu....kilichomuokoa mtoto yule somo alilokuwa anafundisha baba yake walikuwa wanashirikiana walimu watatu! Yeye alikuwa anamsimamo anasema akifeli nitamtafutia shule na kozi anazoziweza...! Sina hakika kama Mh. naye alifanyiwa mchezo huu na wenzake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…