Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Kweli nimeamini si kila anayejiunga na kifurushi cha university cha tigo ni mwanafunzi wa chuo.. wengine wanatokea kitaa na kuja kujiunga vifurushi visivyowahusu.
Mkuu umeuwaaaaa kinyamaaa kama ISIS
 

Hakunaga furaha yangu mimi na wewe........................
Hakuna aliye makmilifu chini ya JUA HILI, anaye jiona makamilifu na hataki kukosolewa ajue kuwa anamkasirisha Muumba wake na adhabu yake ni jehanam,kwani mkamilifu pekee ni Allah.
 
Wanajipanga kuleta hoja au thread za zima moto, huu uzi wanaupita kimya kimya
Wako tayari kuzuga hata mtu maarufu kafa au balali gavana wa Benki kuu kaonekana kariakoo akinunua matembele
 
Watu wengine labda hata hamsomi vizuri; hamdhanii kuwa inawezekana hii ni sababu ya baba mtu kuchukua hatua alizochukua.. siyo yeye aliwataja kuwa "wapo watoto viongozi" jana?
 
Ha! Ha! Ha! wanasema chemistry haina hivyo vitu , eti ni nambanamba tu , Kwi! Kwi! Kwi!!!!
 
Tangu serikali hii anayoiongoza yeye mwenyewe imekuwa ikijinadi kwa uwajibikaji. Uwajibikaji au 'accountability' ni dhana pana lakini msingi wake mkubwa ni uwazi. Waliposemwa mawaziri wake kwamba hawajajaza fomu za maadili aliita vyombo vya habari na kuwapa masaa kujaza fomu hizo. Mama Kilango alipomdanganya kuhusu watumishi hewa aliita vyombo vya habari na kumfukuza, Kitwanga alipoingia bungeni amelewa taarifa ilitumwa kwenye media kwamba ametimuliwa kazi. Kwa ufupi alikuwa anatekeleza uwajibikaji kupitia nguzo yake kuu yaani uwazi.

Leo anatetajwa kuwa binti yake anahusishwa na kashfa ya kusoma chuo kikuu bila kuwa na vigezo. Tunatarajia yeye mwenyewe au Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kama chombo chake kulitolea maelezo. Ama ni kweli au ni uzushi ili kutimiza dhana ya uwajibikaji anatakiwa kujitokeza kujibu tuhuma hizo. Katika mataifa yanayofuata dhana ya utawala bora na uwajibikaji kelele za kumtaka ajiuzuru zingekuwa zimeanza.
 
Kizazi cha nyoka kabisa!!!watoto wasiwaonea hata wazazi wao aibu!!hivi mkuu wa nchi anajisikiajee!!?
 
Huyu mtt wa JPM hajasoma UDOM coz me nilikuepo miaka hiyo ya 2012 na nlikua nasoma hy coz Bcom HRM sikuskia wala kumuona huyo binti. Yawezekana alichaguliwa ila hakuja kusoma.
Kama alichaguliwa ina maana ali apply.so kuripoti au kutoripoti haina mashiko.
 
Watu wengine labda hata hamsomi vizuri; hamdhanii kuwa inawezekana hii ni sababu ya baba mtu kuchukua hatua alizochukua.. siyo yeye aliwataja kuwa "wapo watoto viongozi" jana?
Inawezekana rais wetu huyu mwema ameamua kufagia nyumbani.Nampongeza kwa hilo!
 
Watu wengine labda hata hamsomi vizuri; hamdhanii kuwa inawezekana hii ni sababu ya baba mtu kuchukua hatua alizochukua.. siyo yeye aliwataja kuwa "wapo watoto viongozi" jana?
ALITOE LI KILAZA LAKE PALE UDOM KWANZA NDO TUTAMUELEWA; KAZI KUWASIMANGA WATOTO WA WENZAKE TU WALIOPATA DIV ONE hadi three eti ni vilaza! mwambie huyo anayeyatumia madaraka yake vibaya kuchomeka vilaza
 
Watu wengine labda hata hamsomi vizuri; hamdhanii kuwa inawezekana hii ni sababu ya baba mtu kuchukua hatua alizochukua.. siyo yeye aliwataja kuwa "wapo watoto viongozi" jana?

Wakati jambo linatendeka baba hakujua ni makosa hadi asubiri kuwa mkuu ndio hatua zichukuliwe???
Mambo mengine sio lazima kutetea!!!

Waliokubali kubong'oa wacha wabong'oe
 
kufeli mtihani siyo kufeli maisha ..acheni hizo.
uko sahihi mkuu, ila raisi jana kasema wanaofeli waende kwenye vyuo vya level yao, huyu mbona mambo togauti? Hatujaambiwa hatua alizofuata mpaka kuwa udom hahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…