Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtihani huwa una mengi sana, kuna watu hufaulu kwasababu mbalimbali na kuna watu hufeli kwasababu mbalimbali. While hujui anayekusahihisha yupo katika mood ipi, mtahiniwa anaweza kufanya mtihani akiwa anaumwa na sababu kibao, while wengine wana pass kwa kuiba mitihani. lakini wapo pia wanaofaulu kihalali na wenye uelewa mzuri wapo ambao hufeli kihalali kwa kuwa na uelewa mdogo. Kuna article niliwahi kuisoma ya wanataaluma juu ya mtihani, conclusion yao ilikuwa mtihani si kipimo sahihi cha kupima uelewa wa mtu.
 
Mmmmmmmhhhh[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
Ni kweli umenena kabisa! Lakini kwa sasa hapa tz mtihani ndio kipimo cha ama ukipanga au ukilaza
 
Ila mm nimemuachia mungu yaani kiongozi wangu anamuita mtoto wangu aliyepata 4 ni kilaza kwahiyo nilikosea mkuzaa inasikitisha sana
Aisee ametudharau sana watanzania, afu kuna binadamu wengne wanasifia
 
Na vilaza pia dhambi sio yao..hawakujipeleka UDOM
Unamaanisha yule mwanafunzi wa mwendo kasi?
 
Sure
 
Baba Jesca na Elimu ya Mwendokasi ya Mwanae inawahusu nini?

Anyways nilishasema viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe.

Hiyo negligence hakuianza leo.Ipo deep rooted mahali.

By the way IQ kwa mtoto wa kiume hurithi kutoka Genes za mama.X Chromosome ina madhara makubwa kwa akili za mtoto wa kiume.

Si unaona kale kajamaa ka Grace Mugabe alikozaa na Genius Robert Mugabe.Ni akili za Mwendokasi kabisa kabisa

Sasa hili la Jesca basi kwa vile ni wa kike haathiriwi na genes za mama katika IQ bali za Baba.
 
hii ndo shida ya kuanzisha ugomvi wa mawe wakati unaishi nyumba ya vioo
Wazee wa zamani wana maono marefu.......Kuna hadithi moja ya bwana mmoja aliyekuwa anakata tawi la mti.....alivyokuwa zuzu akawa anakata tawi la mti alilolikalia...likikatika na yeye anadondoka chini,inawezekana nia ilikuwa kuchafua kilichofanywa awamu iliyopita kionekane cha hovyo hovyo,matokeo yake na yeye kajikuta alikuwa ni sehemu ya u-hovyo hovyo wa awamu iliyopita, ukiwa kwenye bwawa la tope huwezi kuwa safi,ukichukua mikono kujifuta unazidi kuchafuka kwa kuwa hata mikono ina tope,toka kwenye bwawa la tope kwanza,oga,use safi ndipo utapata fursa ya kujua usafi na uchafu vina tofauti gani
 
Elimu na Kuwa Baba,Mama Mzazi ni vitu totauti, elimu unaweza kukariri tu na ukafaulu mtihani, lakini kuwa baba, mama na mzazi ni shule kubwa kushinda digrii zote na matokeo yake huonekana kwa familia na watoto, binadamu mwenye akili kamili hawezi kuwa na watoto wengi, kwani kwa kawaida mtoto huanza kulelewa akiwa tumboni, na anakuwa chini ya ulezi mpaka miaka 18, wakati huo huo wazazi wakitumia muda mwingi,kutafuta maendeleo kwa ujumla, hivyo ukiwa na watoto wengi utashindwa kuwaelea na kusimamia kikamilifu ubora wa elimu,afia na tabia za watoto.
 
Usikute dingi yake prince na benerd ndio walianzisha huu mjadala humu na Id zao feki na ndio wachangiaji wakuu wakifurahi kwel kwel. Am sure about it. These dudes are hypocrites. Joni must sides with Ngoyai as soon as possible to fix these dudes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…