Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Chunga mikono yako itakuangamiza! Unamtukana Rais analaana, hiyo laana alipewa na mama yako?
Do u know the meaning of laana?
Kama wewe ni mtenda dhambi jua umelaaniwa kwa hilo..
Kama hutendi na usimamii haki jua wewe umelaaniwa....
Kama ni mnafiki jua umelaaniwa...
Ambao hawajalaaniwa wote Yesu Kristo yumo ndani mwao....
Je wewe uko wapi hapo?
Nampenda Rais wangu tena sana zaidi ya unavyofikiri. Ila na yeye akitenda dhambi jua atakuwa amelaaniwa according to Bible, kwani watenda maovu wote wamelaaniwa..
 
kama anafunga mashine kuna shida gani? Ulitaka asifunge? We bwege kweli
 
Sawa ila tatizo ni kamaliza form 4 mwaka 2011 na mwaka 2014 akadahiliwa kuingia chuo kikuu sasa hiyo CERTIFICATE na DIPLOMA kasoma miaka miwili?
 
Sawa ila tatizo ni kamaliza form 4 mwaka 2011 na mwaka 2014 akadahiliwa kuingia chuo kikuu sasa hiyo CERTIFICATE na DIPLOMA kasoma miaka miwili?
Hiyo spidi ya kusoma inaitwa spidi ya "MWENDOKASI". Usistaajabu KILAZA pia huweza kusoma kwa SPIDI ya MWENDOKASI.
 
Mpumbavu wewe unayetunga swali badala ya kujibu swali uliloulizwa. It will take only a fool to do what you have done and instead of admitting defeat you are using vulgar language. Hopeless.
Misukule ya mbowe inamhadaa kwa kiingereza cha ugoko naye anaona anamajembe!!
Maswali yote niliyoulizwa nimeyajibu na waliouliza wameelewa isipokuwa wewe. Nafikiri wewe hujaelewa kwasababu wewe ndiye ulikuwa wa mwisho kuwekewa kinyesi kichwani na Mbowe.
Mjinga hawezi kufanya kazi niifanyayo ya kuelimisha misukule ya Mbowe aliyoipiga muhuli wa moto, mpaka ikaelewa.
 
Nakuona umerudi ulienda kujipanga pole yako Jesca
 
Kwa hapa Tanzania chuo gani kinatoa programu maalumu kuwawezesha wanafunzi wenye div 4 ya 30 kudahiliwa chuo kikuu?
What exactly are you insinuating? Ni kwamba unataka kumsimanga binti wa Malaika aliyeletwa na Mungu; au?! Hudhani unachokifikiria ni machukizo mbele ya Mwenyezi Mungu?! Katoka Form IV na bonge la pass la pass ya Kiinglishi! Kilichofuata baada ya hapo ni lazima uwe na upako na upate kufunuliwa kwa maono! Tunazungumzia mtoto wa Malaika tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…