Well saidSiasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.
Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.
Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.
Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.
Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
Yaani ujinga wote wa komba alikuwa anaufanya kuwabagaza upizani aliacha watoto hata Ada ya laki tano inawashinda? CCM badilikeni hakuna aliye salama chini mfumo usio fuwata sheria. Tuangane tudai mabadiliko.Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.
Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.
Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.
Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.
Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
Wa siku hizi wanaacha assets na akaunti kubwa zinazopumua vizuri, hata kama warithi wata misuse huwa haziishiMh!! Ina maana hawa vigogo wanakuwa hawaweki akiba ya kusaidia watoto wao pindi wanapokufa
Nadhani hii ndiyo hoja ya mtoa ushauri.Huu ushauri sio kwa watoto wa Ndugai tu.Ni ushauri applicable Hata kwa wengine.Sio kila Rafiki wa Baba yako ni Rafiki wa kweli ambaye atabeba majukumu yake baada ya yeye kufa.Pambana sana
WENGI HAYA YAMETUKUTA LABDA NISEME HIVI,THIS IS A UNIVERSE LAW!,HAKUNA AHADI ZA UONGO KAMA ZILE ZITOLEWAZO MISIBANI.Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.
Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.
Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.
Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.
Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
kwa LuluHawa wazee pesa huwa wanapeleka wapi hadi watoto wao wanazunguka kutafuta msaada wa laki tano.
Aibu sana.
Kuanzia mwanzo walikuwa hawaelewani!hakuna Mgogo mwenye ubavu wa kuingia mali za Ndugai ambaye wake zake moja ni Mchaga na mwingien Mpare. Cha kuomba hao wake zake tu ndo wasigombane lakini hamna cha baba wala mama wala mjomba wala kaka mtu. Cheza kwingine lakini siyo palipo Mchaga na Mpare