Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

Vyuo Vya Tanzania Ada ni 1-7M

Sasa ikiwa alikuwa mtoto wa Komba alikosaje Ada ya chuo , alishindwa hata kuomba wadau wamchangie ?

Kama alifanya hivyo basi huyo Komba Alizaa watoto wasiojitambua Kama alivyokuwa yeye.

Yaani kupitia uwekezaji wake ambao ulimfanya afariki kwa pressure ni zile Shule alizojenga akajikuta anadaiwa Billion of money huku Mali zake zikitishiwa kupigwa mnada.

Nachojua Baba hakujipanga.
Hata wewe hutajipanga.

Si kawaida kila mtu kutafuta hela ya kula milele uzao wake. Jukumu la mzazi ni kukutunza hadi uwe mtu mzima kisha unapambana mwenyewe.

Ikitokea mzazi amekufa kabla hujakua, watoto inabidi kuanzia hapo alipowaacha mnnasonga mbele, haiwezekani hadhi ya maisha iwe kama ile ile ya enzi ya mzazi.

Pia hakuna mtu mwenye jukumu la kuhudumia familia ya marehemu kisa tu alikuwa rafiki yao., ukisaidiwa ichukulie hiyo kama prevelege sio haki yako.

Mzazi sio jukumu lake kutafutia mtoto maisha au mali, jukumu lake ni kumtunza hadi mtoto awe mtu mzima basi anaishia hapo kimajukumu.

Kama mtoto akizaliwa na mzazi mwenye uwezo mkubwa hiyo ni bahati tu sio haki yake mtoto.
 
Hata wewe hutajipanga.

Si kawaida kila mtu kutafuta hela ya kula milele uzao wake. Jukumu la mzazi ni kukutunza hadi uwe mtu mzima kisha unapambana mwenyewe.

Ikitokea mzazi amekufa kabla hujakua, watoto inabidi kuanzia hapo alipowaacha mnnasonga mbele, haiwezekani hadhi ya maisha iwe kama ile ile ya enzi ya mzazi.

Pia hakuna mtu mwenye jukumu la kuhudumia familia ya marehemu kisa tu alikuwa rafiki yao., ukisaidiwa ichukulie hiyo kama prevelege sio haki yako.

Mzazi sio jukumu lake kutafutia mtoto maisha au mali, jukumu lake ni kumtunza hadi mtoto awe mtu mzima basi anaishia hapo kimajukumu.

Kama mtoto akizaliwa na mzazi mwenye uwezo mkubwa hiyo ni bajati tu sio haki yake mtoto.
Kabla ya kufikiria kuwa na mtoto fikiiri kuanza kutafuta Mali za kuwaachia watoto wako.

Inashangaza MTU Kama Komba aliyekuwa karibu na serikali zote anashindwa kujipanga kimaisha .

MTU Kama Komba alibidi kuwa amejipanga kimaisha kwakuwa kapata nafasi kubwa kimaisha ambayo ilikuwa inatosha kuandaa wealth generation
 
Taasis nyingi zina mikopo hailipiki na mali haziuzwi... You think Komba angekuwa hai na huku na kule akapata na uwaziri 2015 wangeuza?

Anyways, anachosema jamaa ndio ukweli, hakuna urafiki wa kudumu, ni maslahi tu. Kwanza nina uhakika walianza kuona pale alipojiuzulu Uspika. Ni watu wachache wanaweza kuendeleza utu.

Mzee wetu mmoja alitumbuliwa ukurugenzi, alipoteza kila kitu. Nakumbuka alikuwa anafurahi sana mkienda kumsalimia.... Kauli yake moja tu, "wageni sina siku hizi, nyumba haifuki moshi i.e hakuna nyamachoma 😂😂😂"
😂😂😂😂
 
Jukumu la mzazi ni kutunza mtoto hadi akue basi. Hata matajiri wa ulaya na marekani huwa wanasema wazi utajiri wao watauacha kwa charity organizations kwa sababu mtoto inabidi atengeneze maisha yake yeye mwenyewe sio kutengenezewa.

Kuoa au kuolewa hakuhitaji uwe na mali kwanza, sifa kuu mtu awe na kipato cha kuweza kuishi basi.
 
Komba angepata uwaziri kwa elimu gani
 
Mfano hai ni DAB alivyofokolewa akaachwa na kualikwa kwenye birthday ya tiffa dangote
 
Jukumu la mzazi ni kutunza mtoto hadi akue basi. Hata matajiri wa ulaya na marekani huwa wanasema wazi utajiri wao watauacha kwa charity organizations kwa sababu mtoto inabidi atengeneze maisha yake yeye mwenyewe sio kutengenezewa.

Kuoa au kuolewa hakuhitaji uwe na mali kwanza, sifa kuu mtu awe na kipato cha kuweza kuishi basi.
Marajiri wa USA wanatoa sehemu ndogo ya utajiri kurudisha kwa jamii.

Wewe unategemea mtoto wa Bill gate aje kutembeza Bahasha katika kampuni za watu.
 
Kuwaachia mali kwa mantiki ipi? Huyo jamaa hapo juu kakujibu vizuri sana.
Kabla ya kufikiria kuwa na mtoto fikiiri kuanza kutafuta Mali za kuwaachia watoto wako.

Inashangaza MTU Kama Komba aliyekuwa karibu na serikali zote anashindwa kujipanga kimaisha .

MTU Kama Komba alibidi kuwa amejipanga kimaisha kwakuwa kapata nafasi kubwa kimaisha ambayo ilikuwa inatosha kuandaa wealth generation
 
Kuwaachia mali kwa mantiki ipi? Huyo jamaa hapo juu kakujibu vizuri sana.
Watoto unaowazaa wanabidi wakute Mali za kutosha lazima uandae wealth generation .

Jifunzeni kwa akina Bakhressa , Dr Mengi n.k

Yaani unazaa mtoto unampa Elimu ya kuunga unga then unataka asambaze bahasha katika kampuni za akina Bakhressa ambao walijipanga wakaendeleza utajiri.

Mali ndo wealth lazima uandae kizazi bora
 
Mfano hai ni DAB alivyofokolewa akaachwa na kualikwa kwenye birthday ya tiffa dangote
DAB hata birthday zake waliacha kupost 😂😂😂.

Angalia sasa hivi katibu wa Rais wasanii wanavyopost birthday zake, subiri aondoke ndio tutaona
 
Political science.nanyi mjifunze hivi ndio mtaeza toa ccm madarakani lakin Kwa njia ya kufanya uana harakat uchwara na kutafuta huruma nje ya nchi mtasubir xnaa
Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.

Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.

Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.

Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.

Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
 
Sure mimi mzee alikua DC akafariki ghafla niliamua kutembelea kwenye line yangu tu marafiki wa baba ako hawawezi kua marafiki zako mpaka Sasa naisoma number sifahamiki kokote Jua langu Mvua yangu Mwanaume Inatakiwa upambane no matter what msaada utakukuta njiani
Yes for sure, unapaswa kukaza kimpango wako. Wala hupaswi kujiliza, au kutafuta huruma kwa watu ili hali tu Baba ako alikuwa na Jina. Kilichopo ni kukausha na kuendelea tu kupambana.
 
Political science.nanyi mjifunze hivi ndio mtaeza toa ccm madarakani lakin Kwa njia ya kufanya uana harakat uchwara na kutafuta huruma nje ya nchi mtasubir xnaa
Haters kama kawaida......political science vs Wasiojulikana....hahaha
 
Back
Top Bottom