Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Maneno meeengi. Watu waliokulia kwenye privelege wanaona kuhustle ni kuonewa sana.
Investment zipi mkuu alizonazo Ndugai ?Ni kweli. Binadamu haturidhiki, lakini kwa investments za Ndugai ilikuwa ni muda wa kupumzika ale matunda ya miradi yake.
Kazi unaiweza shemeji.Shemeji yako mbea mimi.
Nilisahau kama nimekununia.
Sheria ya mirathiKwa sheria ipi?!
Aiseee..Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.
Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.
Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.
Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.
Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
Nimesoma nae Shule ya msingi Kawe A.Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.
Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.
Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.
Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.
Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
Kwani Nape Nnauye yeye anafanya nini CCM kama sio kutembelea upepo?Alitaka tu kutembelea jina la Baba yake huyu. Your life is your own responsibility.
Shida ya CCM ukiwa nje ya Circle protectionism inakuwa hakuna. Utazingirwa na TRA na kupewa misala na hamna wa kukusaidia. Utampigia Commissioner na simu hatookota.Ni kweli. Binadamu haturidhiki, lakini kwa investments za Ndugai ilikuwa ni muda wa kupumzika ale matunda ya miradi yake.
Ndugai atakuwa amejilimbikizia mimali uwezo fananisha na komba
Ana ng'ombe wengi pamoja na petrol stations kibao. Fedha za kwenye account pia japo mke mdogo ndio atakuwa anazijua.Investment zipi mkuu alizonazo Ndugai ?
Mbona kama kweli maana huku mbezi beach kwa zena kuna mall na mbele wanajenga petrol station wanasema ni mali ya marehemu.Ana ng'ombe wengi pamoja na petrol stations kibao. Fedha za kwenye account pia japo mke mdogo ndio atakuwa anazijua.
Yeah hio inafahamika kitambo. Shida ni mke mkubwa kuna dalili atakosa vingi sababu CCM watamkumbatia mke mdogo.Mbona kama kweli maana huku mbezi beach kwa zena kuna mall na mbele wanajenga petrol station wanasema ni mali ya marehemu.
Hivi ccm itawasaidia wangapi?Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.
Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.
Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.
Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.
Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
Mke mdogo ndiye alimtunza Marehemu, mke mkubwa ni mke jina tuYeah hio inafahamika kitambo. Shida ni mke mkubwa kuna dalili atakosa vingi sababu CCM watamkumbatia mke mdogo
Yeah ila sheria inamtambua mke mkubwa kama mrithi wa mali. Je, atatoboa?Mke mdogo ndiye alimtunza Marehemu
Achana na sheria! Hali halisi ipo hivyo.Yeah ila sheria inamtambua mke mkubwa kama mrithi wa mali. Je, atatoboa?
Bwana hupatiliza wana wa uovu hadi kizazi cha NneSiasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.
Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.
Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.
Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.
Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
Wamuulize Dominiki Furaha atawaelezaSiasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.