Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.

Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.

Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.

Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.

Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
Ameongea ukweli.
 
Hayo ni makosa ya Baba yake hayana uhusiano wowote na sisiemu.

Chama cha sisiemu kina makundi matatu .

- Watu smart , hawa ndo ambao hupewa privilege mbalimbali

-Machawa , hawa wapo kwa ajili ya kukipamba chama, katika kundi hili ndo walikuemo akina Captain Komba , n.k

-Wafuasi , hawa ndo wananchi wanaipenda sisiemu Mara nyingi hawa ndo mtaji wa sisiemu hawa ndo husombwa katika maroli , kupewa kanga na n.k ni kundi la watu wajinga mbumbumbu.

So mtoto wa Komba anabidi kukubali aliyefanya makosa alikuwa Baba yake kwakuwa hakujipanga kiuchumi na hakujipanga kimaisha .

Kama akina Peter Msechu wanaishi Good life iweje yeye ambaye kafanya Kazi za Sisiemu mpaka anakufa
 
Hakuwa mpumbavu, ndio maisha mkuu. Tujifunze tu.

Hawa wazee wengi sio wafanyabiashara wa kweli, wengi ni political power ndio inawapa ulaji, hawalipi kodi stahili, wanapewa mikopo isiyo na kichwa wala miguu. Au hujaona mkopo wa 1 Bil kutoka Bank fulani kwa kiongozi fulani wa Police. Hawa wamezoea mapesa mengi yasiyoeleweka, hayo marupurupu ya speaker mstaafu ni peanuts.

Nguvu ya mamba kumayi! Wakitoka wanapotea mazima.

Kudos dude.!
Umemaliza kila kitu
 
Alitaka tu kutembelea jina la Baba yake huyu. Your life is your own responsibility.
Sure mimi mzee alikua DC akafariki ghafla niliamua kutembelea kwenye line yangu tu marafiki wa baba ako hawawezi kua marafiki zako mpaka Sasa naisoma number sifahamiki kokote Jua langu Mvua yangu Mwanaume Inatakiwa upambane no matter what msaada utakukuta njiani
 
Wa Komba walitelekezwa completely hata madai ya baba yao kwenye chama walidhulumiwa.

Kuna yule dada “our age” alibidi aghairi mwaka chuoni auze chakula ili kukusanya ada. Yule ameolewa na mchambuzi wenu wa mpira.
Vyuo Vya Tanzania Ada ni 1-7M

Sasa ikiwa alikuwa mtoto wa Komba alikosaje Ada ya chuo , alishindwa hata kuomba wadau wamchangie ?

Kama alifanya hivyo basi huyo Komba Alizaa watoto wasiojitambua Kama alivyokuwa yeye.

Yaani kupitia uwekezaji wake ambao ulimfanya afariki kwa pressure ni zile Shule alizojenga akajikuta anadaiwa Billion of money huku Mali zake zikitishiwa kupigwa mnada.

Nachojua Baba hakujipanga.
 
Ndo ujue kuwa rasilimali za Tanganyika zimetengwa kunufaisha wachache miongoni mwa wengi!
Na kwamba ccm ina wenyewe!
Na Kwamba the struggle for mental liberation, fairness, equity and reforms is relevant even now!
 
Wababa wa kiafrika mna mambo mengi sana.

Ukweli ndio huo rafiki yetu alikosa ada, hata madarasani huwa watu wanachangiana, ila yeye hakuona hiyo kama option, she worked hard to earn it, na alivyo pisi angeweza kupata hata kwa wababa…

Shemeji amepata mke.
 
Basi ipo shida Komba amezaa watoto wajinga Sana.

Sio Mara ya kwanza kuona watoto wake wakilalamika na kutia huruma.

Nafasi aliyokuwa nayo hakuitumia vizuri , na hakuwaandaa watoto wake kuja kuishi katika dunia ya kweli .
 
Ndo ujue kuwa rasilimali za Tanganyika zimetengwa kunufaisha wachache miongoni mwa wengi!
Na kwamba ccm ina wenyewe!
Na Kwamba the struggle for mental liberation, fairness, equity and reforms is relevant even now!
True , Ila Komba si ndo aliimba hiyo nyimbo aki brag kuwa ccm Ina wenyewe .

So wanachopitia familia yake is karmic debt , watoto wake wengi ni walalamikaji yaani wanataka kuishi kupitia jina la baba yao na mfumo unawakatilia.
 
Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.

Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.

Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.

Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.

Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
kujitegemea ni muhimu zaidi katika maisha gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom