Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

Kama assets zipo hakuna shida. Zaa hata na wanawake 20.
Waulize waliopita huku then wako kibao namna ya kugawana mpk wanauana

Hii imkute mdomo,anaeelewa maana wosia,na kugawa mapema ht akiondoka haileti shida
Ila waafrika Bado sn ndo maana wengi wakifa Mali huwa nazo zinakufa
 
Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.

Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.

Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.

Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.

Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
Hayo yote yana tatuliwa kwa kuzuia wanasiasa kuwa wapiga kura kwenye chaguzi kuu za kitaifa ...udiwani ubunge urais ...haoa mwanasiasa asiwr mpiga kura wa hizi chaguzi ....na ili ndiyo pungufu kubwa kwenye katiba ya Kenya japo inadaiwa ni nzuri
 
Alikuwepo ila naona hakutambuoiwa rasmi km yule bi mdogo
In this case hazipukutiki mali za marehemu. Zitatumiwa na mke aliyekua naye ktk shida na raha, ambaye ni huyu wa pili. Mfano, kipindi Ndugai anaugua mpaka kidogo akate roho mpaka kupelekwa India huyu wa pili ndo alikuwa na Ndugai.
 
Labda wa kwanza walikuwa washa achana 🤷
Duh haya mambo aisee yasikie tu

Mkubwa wa ndoa ndo Kuna watt nadhani
 
Labda wa kwanza walikuwa washa achana 🤷
Duh haya mambo aisee yasikie tu

Mkubwa wa ndoa ndo Kuna watt nadhani
Hawakuwahi kuachana kisheria inavyosemekana kwasababu za kidini. Japo naamini kwa kiwango cha ufisadi na kuogopwa na mfumo alichokua amefikia Job alikua anaweza hata kupata talaka ya bandia na serikali ikasema ni divorce certificate halali. Ila inasemekana pia kwamba Job alitoa matunzo yoote kwa huyo wa kwanza na watoto wake wakiwa wametengana. Issue hapa ni hizo mali nyingi alizojipatia Job kipindi akiwa na huyu wa pili. Binafsi naona wa pili anastahili hata kama wa kwanza ndo ana cheti cha ndoa.
 
Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.

Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.

Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.

Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.

Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
Umeweka vizuri sana hiyo summary ya makundi.
Kwenye kundi la tatu, ongezea. Wananufaika kwa kufahamiana na kundi la pili na kidogo sana kundi la kwanza. Hawa huendesha maisha yao kupitia makundi hayo mawili kupata chochote kitu kupitia connections.
 
Attachments

  • 1755069904484.png
    1755069904484.png
    79.2 KB · Views: 17
Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.

Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.

Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.

Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.

Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
Ulitaka wawahamishie Lumumba?
 
Back
Top Bottom