Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

Well said
 
Yaani ujinga wote wa komba alikuwa anaufanya kuwabagaza upizani aliacha watoto hata Ada ya laki tano inawashinda? CCM badilikeni hakuna aliye salama chini mfumo usio fuwata sheria. Tuangane tudai mabadiliko.
 
Huyu ni mpumbavu Kabisa...

What for!? Kaombwa.

Hata msiba haujapoa. Ilikuwa ni lazima kurekodi.

Mpumbavu
 
Huu ushauri sio kwa watoto wa Ndugai tu.Ni ushauri applicable Hata kwa wengine.Sio kila Rafiki wa Baba yako ni Rafiki wa kweli ambaye atabeba majukumu yake baada ya yeye kufa.Pambana sana
 
Huu ushauri sio kwa watoto wa Ndugai tu.Ni ushauri applicable Hata kwa wengine.Sio kila Rafiki wa Baba yako ni Rafiki wa kweli ambaye atabeba majukumu yake baada ya yeye kufa.Pambana sana
Nadhani hii ndiyo hoja ya mtoa ushauri.
 
WENGI HAYA YAMETUKUTA LABDA NISEME HIVI,THIS IS A UNIVERSE LAW!,HAKUNA AHADI ZA UONGO KAMA ZILE ZITOLEWAZO MISIBANI.
#NAMALIZIA HAPO!
 
Kuanzia mwanzo walikuwa hawaelewani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…