Mtoto wa Marehemu Kibonde aomba msaada wa Kisheria kuhusu mirathi ya baba yake

Huyu mnyakyusa mbona anakwama hivyo..?😏😏, anashindwa kuacha mirathi kisomi kabisa na alikua ana koneksheni na wanasheria
Baba yake na Kibonde alikuwa Operation Manager TPA, Mke wa Kibonde Wazazi wake ni watu wenye uwezo sana, wanashindwaje kuwasaidia hao wajukuu? Ikumbukwe Mke wa Kibonde alifariki kabla ya Kibonde kumfuata(kufariki)
 
Kila MTU ana uhuru wa kuchagua chama anachotaka wala Hilo sio kosa kabisa .

Kosa linaweza kuwa pale ukaitumia platform ya chama chako kufanya mambo ambayo sio sahihi.

Kwahiyo unapojenga hoja tumia ufahamu wako vzr na sio kuandika matusi mitandaoni.
Nimekataza mtu asiwe mpenzi au mwanachama wa chama flani?
 
Aisee
Mkuu hebu fanya the needful kama uko nao karibu watoto wasiteseke
Namkumbuka Ephraim, mtoto wa magorofa ya benki pale, nimecheza nae sana Don Bosco, na pensi yake nyekundu
Mpaka nimekuja kuoa, nilimuita akawa MC pale Diamondi.
Inasikitisha sana
Naijuwa,hyo famiilia kitambo
Wakin Sarah,Lydia,dada yao yule alikuw psspf sjui nssf
Ephraim mwnyw namjuw way back
Sasa issue hii ya mirathi familia ndy inakwamisha au
Maana ile familia ina ujehovah ujehovah mwingi sana

Ova
 
Ina maana kibonde kwa umri ule hakuwa na mtoto alievuka miaka 18!?
Kama alikuwa nae wa kiume, huyo ndie mrithi halali!

kwetu wakurya..., binti hana URITHI! kwa baba wala mama yake!, URITHI WA BINTI UKO KWA MUMEWE! HUKO ATAKAKO-OLEWA!

PERIOD!.
Kwenu Wakurya, Kibonde alikuwa mnyakyusa
 
Kwa nini suala la mirathi kwa watu weusi ni Tatizo hivi Tanzania??

Mbona huwa hatuwasikii Wahindi na Waarabu wakigombania mirathi?
Mostly huwa ni umaskini, tunavizia kufaidi kwenye mali ya marehemu.
 
Ina maana kibonde kwa umri ule hakuwa na mtoto alievuka miaka 18!?
Kama alikuwa nae wa kiume, huyo ndie mrithi halali!

kwetu wakurya..., binti hana URITHI! kwa baba wala mama yake!, URITHI WA BINTI UKO KWA MUMEWE! HUKO ATAKAKO-OLEWA!

PERIOD!.

Asipoolewa?
Akiolewa akifukuzwa?
 
Hii kauli ina prove maneno ya kwamba hata ukiacha usia bado mwanafamilia anaweza kupachimbisha tu akiona kwa akili zake kuwa huo usia una utata, au haum favour yeye na akaenda mahakamani na kufanya mambo kuwa magumu.
Hii nina experience nayo Kuns Mzee nilikuwa namfahamu aliandika wosia akagawa mali vizuri ila kuna watoto wakubwa kama watatu aliwatoa nje alikuwa na bifu nao akawa treat kama sio watoto wake.

Hilo balaa lake baada ya kufa ni noma wale watatu waliufanya ule wosia kukosa maana.
 
Msaada wa kisheria ni kwa wasio na uwezo ama hohehahe, je yeye hawezi kulipa wakili kutokana na mali za familia?
Familia haiwezi kulipia mawakili?
 

Nilikuwa tu, wanyakyusa Wana roho mbaya Sana hususani katika hizi ishu za Marathi...nimeishuhudia hii kesi ya 20 Sasa...yaani kama umeoa au kuolewa na mnyakyusa siku ukifa tu kile ulichokitafuta miaka nenda rudi wataishia Ndugu wa kinyakyusa kugawana hawajali watoto wa Marehemu
 
Comrade makosa ya baba hayawezi kuhamia kwa mtoto, kama kuna namna ya kumpatia msaada apatiwe tu msaada kwa maana hili linaweza kutokea hata kwa wanao au jamaa zako wa karibu.
 
Msaada wa kisheria ni kwa wasio na uwezo ama hohehahe, je yeye hawezi kulipa wakili kutokana na mali za familia?
Familia haiwezi kulipia mawakili?
Comrade nadhani unazijuwa familia zetu za Kiswahili zikishajuwa kuwa kuna jambo litakunufaisha mbeleni lazima wawe na roho za korosho. Ukiona mpaka binti ameamuwa kutafuta msaada kwa umma basi ujuwe hali ni tete sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…